Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Dawa za hospitali haziponeshi, nimekunywa mno, zinatuliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli usiopingika kuwa dawa za hospital hazitibu ila zinatuliza tu huenda kwa siku 3 au 7 tena zikiambatana na masharti magumu sana ambayo ukijisahau tu unarudi kwenye hali hiyohiyo hata kama umemaliza kumeza dawa Jana yake.

Nakushauri ufuatilie kuna baadhi ya dawa za kienyeji nzuri zinaondoa tatizo hilo tena kwa kutumia siku chache tu, bila masharti ya vyakula baada ya kutumia, ila tu usikae njaa muda mrefu sana bila kula coz ugonjwa ulikuwa ushakuathiri pakubwa.
 
Mkuu niliwahi kutumia dawa inaitwa heligo kit nikapoma kabisa ni miaka miwili sasa nilikua sijasikia dalili. Lakini ghafla vimerudi I think ni stress na kuchelewa kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema ukahaingaika kutibu root causes kuliko dalili za juu juu . Utaharibu mwili kwa madawa . Hiyo heligo kit ni dawa sahihi ulipewa ina flagyly, omeprazole na antibiotic ya kuuza hao H bacteria .

Magonjwa mengi haswa vidonda vya tumbo ni kutokana na Maisha yetu na vyakula , fanyia kazi muundo wako wa Maisha magonjwa yatapita kando . Nakutakia upone mapema kwa neema za Mungu.
 
Itabidi niitafute tena mkuu, ilinisaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kipimo cha endoscopy ni bei na hospital gani zina iko kipimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda maduka ya asili kanunue unga wa kitungu swaum kilo moja,changanya na unga wa habat said aka black seed changanya na asali Lita 2 Uwe unatumia kijiko kimoja asubuh mchana na jioni,vikiendelea basi hakuna dawa itakayokuponya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam Mkuu. Huu uzi nimeukuta sehemu naomba uusome japo umeandikwa kwa wino wa chuma {najua kwako sio case} ila pitia pitia unaweza pata kitu.
Pia pole na kuuguliwa na hiyo vidonda.
ULCER TREATMENT
In times of fasting and prayer, this is ulcer treatment you can rely on. Gotten from benedictine monks at Ewu Ishan in Edo state, Nigeria.

Get raw pawpaw and wash it. It must be raw, not ripe

Do not peel it and do not remove the seeds.

After washing the outside neatly, slice it without peeling it into small pieces. The cutting should be small like sugar cubes.

Put all the small pieces of the raw pawpaw into any clean container.

Fill the container with water to stop at the same point the sliced pawpaw stopped.

Leave the pawpaw in the water for four days. For example, if u soak it on a Monday, I count Tuesday, Wednesday, Thursday and Friday will be the fourth day.

On the Fourth day, the water will be looking white in colour. Seive it and throw away the pawpaw and the water becomes your cure for ulcers.

DOSAGE: drink half a glass of the pawpaw water every morning, afternoon and evening. You will no longer feel those ulcer pains because it will heal the wounds that are causing the pain.

This morning, afternoon and evening drinking of the pawpaw water can continue for weeks and months depending on how severe the ulcer is. It is not relief. It is a cure.

Additional note: an ulcer is an internal wound usually in the stomach or intestines.
Common causes of ulcer are infection with the bacterium Helicobacter pylori (H. pylori) and long-term use of aspirin and certain other painkillers, such as ibuprofen (Advil, Motrin, others) and naproxen sodium (Aleve, Anaprox, others). Stress and spicy foods do not cause peptic ulcers. However, they can make your symptoms worse.

Please avoid taking strong painkillers without the prescription. If you take time to read the side effects you will see that the drugs for pain relief cause ulcer or wounds in the body.

This treatment mentioned is not a reason not to go to hospital, because not all internal pains are ulcers.

Let someone know and help someone get cured today.
 

Attachments

  • papa changa.jpg
    38.9 KB · Views: 72
Mkuu niliwahi kutumia dawa inaitwa heligo kit nikapoma kabisa ni miaka miwili sasa nilikua sijasikia dalili. Lakini ghafla vimerudi I think ni stress na kuchelewa kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shortly vidonda vya tumbo Vina uhusiano mkubwa na mawazo
Usipoacha Mawazo hata utibiwaje hutopona Daima
Cha kuzingatia kingine kula kwa wakati. Hata ukichelewa hakikisha unakunywa kimiminika chochote huku ukiendelea na shughuli zako. Mfano maji,juice,ect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vilikuwa stage gan

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri uliopewa ikiw abado haujapona ni,tafute mimi nikupe dawa upate kutumia siku 10 utapona vidonda vyako vya tumbo.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Nataman kukutafta ila nataka kuamini zinafanya kaz
Mana matapeli wenye kutumia shida za watu wameongezeka kitu kinachofanya watu wenye nia nzuri kupotea katika kundi hilo
Ningependa kupata ushuhuda wa aliepona ingekuwa vema kabisa
Ukizingatia kuna mda ulikuwa unatangaza dawa ya UKIMWI enzi hizo na kuinadi inaponesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ziko nyingi sana,
Kikubwa zaidi pima kwanza tujue ni kweli vidonda vya tumbo ,
Mimi nimesumbuliwa sana na dalili za vidonda vya tumbo nikapima hakuna kitu
Lakini tumbo linajaa ges
Tumbo linaunguruma kama engine ya piki piki
Njooo kigumu hata unywe maji lita 5
Nimekula mapapai weeeee wapi?

Maharage kosa
Ndizi mbivu ukila hatari
Maziwa ukinywa kosa

Nimekula dawa nyingi sana za hospital mbaka za kienyeji
Mwisho nikawa doctor kabisa wa kujitibu mwenyewe na mbaka sasa nawatibu rafiki zangu wa karibu baada ya mimi kupona kabisa

Cha kuzingatia ni kanuni tu za lishe
Na kuacha kula baadhi ya vyakula mara kwa mara unapona kabisa kama mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye neno njoo kigumu ni typing error
Nilikuwa na maana choo kigumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lugha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…