Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

A
REISHIBidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.FAIDA YA REISHI
  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida
Kwa ambaye anahitaji kupata hiyo product anaweza kuwasiliana nami kupitia namba 0776491294 pia kwa barua pepe ishealthy@hotmail.com.Gharama yake ni Tsh 85000/- tuUkiwa unahitaji ushauri au ukiwa na swali unaweza pia kuwasiliana.
daah, mtatumaliza!
 
its very suprising kuwa hizi tiba ambacho hata hajipitia maabara za madaktari waliosajiliwa ni ghali sana,angalia bei ya mafuta ya ubuyu,ni balaa,huyu nae anakuja na hizi bei,tutapona kweli?
 
REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

Kwa ambaye anahitaji kupata hiyo product anaweza kuwasiliana nami kupitia namba 0776491294 pia kwa barua pepe ishealthy@hotmail.com.
Gharama yake ni Tsh 85000/- tu
Ukiwa unahitaji ushauri au ukiwa na swali unaweza pia kuwasiliana.

Mimi niko interested kujua uwezo wa dawa kutibu vidonda vya tumbo.Je kuna mtu yeyote ameshatumia dawa hiyo na akapona vidonda vya tumbo? Kama yupo hebu muweke wazi na ikibidi niweze kuwasiliana naye!!!!!!!!!!!!!
 
nimegoogle nimeona imepewa sifa kemkem. sijui ya kwenu kama haijachakachuliwa
 
Mkuu ulieanzisha uzi. inakuwaje hizi dawa zako kama kopi and paste tuu.
Rejea dawa uliyoisema kwenye thread inayohusu dawa ya nguvu za kiume uliyoichangia.
 
its very suprising kuwa hizi tiba ambacho hata hajipitia maabara za madaktari waliosajiliwa ni ghali sana,angalia bei ya mafuta ya ubuyu,ni balaa,huyu nae anakuja na hizi bei,tutapona kweli?
Inaelekea bado elimu hujaipata vizuri kuhusu hizi products. Hizi siyo sawa na zile unazoona kutoka kwa waganga wa kienyeji. Usichanganye mada. Hizi ni products ziliothibitishwa na zinatumika kimataifa
 
Mkuu ulieanzisha uzi. inakuwaje hizi dawa zako kama kopi and paste tuu.
Rejea dawa uliyoisema kwenye thread inayohusu dawa ya nguvu za kiume uliyoichangia.
Wewe hauna haja sababu sioni hoja ya msingi kwako
 
Mimi niko interested kujua uwezo wa dawa kutibu vidonda vya tumbo.Je kuna mtu yeyote ameshatumia dawa hiyo na akapona vidonda vya tumbo? Kama yupo hebu muweke wazi na ikibidi niweze kuwasiliana naye!!!!!!!!!!!!!

Namba za watu huwa hazianikwi ovyo! Wewe ukiwa unahitaji kupata maelezo zaidi kuna contacts zimewekwa kwa ajili ya mawasiliano
 
REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma liciidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

Kwa ambaye anahitaji kupata hiyo product anaweza kuwasiliana nami kupitia namba 0776491294 pia kwa barua pepe ishealthy@hotmail.com.
Gharama yake ni Tsh 85000/- tu
Ukiwa unahitaji ushauri au ukiwa na swali unaweza pia kuwasiliana.
Watu wengi wanateseka na magonjwa mbalimbali na hii inatokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayokolezwa na uharibifu wa mazingira. Matokeo yake, hiyo imekuwa ni fursa kwa wajasiliamali wanaotafuta hela hata ikiwezekana hata kwa kutoa uhai wa binadamu wenzao. Leo hii, kila kona za mitaa kumejaa maduka ya madawa na matangazo ya dawa za kienyeji na zingine zinaitwa dawa mbadala. Maofisini nako wanapita wajasiliamali wanaouza dawa eti zisizo na madhara. Kila sehemu ni dawa dawa dawa dawa.

Hali hii ndiyo wengine imetufanya tuwe waoga wa kujaribu dawa hata kama labda wakati mwingine kweli ni nzuri. Mbaya zaidi dawa zenyewe hizo ambazo bahati mbaya siyo common, zinauzwa bei kubwa sana. Ifike wakati serikali ipige marufuku uuzaji holela wa dawa na kwamba dawa yoyote kabla haijaingia mitaani sokoni lazima ipimwe na kupitishwa na serikali. Tukifikia hatua hiyo, sisi waoga tutaamini na tutakuwa wepesi kununua.
 
Kama upo tayari kama umejaribu hivyo vyote umeshindwa mi nipo tayari kukusaidia kwa laki 250
Je hiyo ni bei ya kichupa hicho kimoja tu? Au ndiyo full dose? Kuna verification yoyote ya mgonjwa kupona? Au ni loliondo style! Je muna utaratibu wowote wa kufuatilia maendeleo ya mgonjwa? Au akishanunua product yenu ndio hakuna kujuana tena,afe, apone ni shauri yake!! Kiasi cha pesa nilichotumia mpaka sasa kujitibu vidonda vya tumbo ni sawa na gharama ya kujenga dispensary ya kijiji,na bado tatizo liko palepale, je hii ya kwako ina tofauti gani kimsingi na nyingine nilizotumia? Hadi sasa nimeshabugia KIKOMBE cha loliondo,fiterawa,vitunguu swaumu,juice ya kabeji nyekundu,asali na maziwa ya ngamia nk,nijibu hayo nitakuja mbio kupata tiba yako, asante.
 
Watu wengi wanateseka na magonjwa mbalimbali na hii inatokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayokolezwa na uharibifu wa mazingira. Matokeo yake, hiyo imekuwa ni fursa kwa wajasiliamali wanaotafuta hela hata ikiwezekana hata kwa kutoa uhai wa binadamu wenzao. Leo hii, kila kona za mitaa kumejaa maduka ya madawa na matangazo ya dawa za kienyeji na zingine zinaitwa dawa mbadala. Maofisini nako wanapita wajasiliamali wanaouza dawa eti zisizo na madhara. Kila sehemu ni dawa dawa dawa dawa.

Hali hii ndiyo wengine imetufanya tuwe waoga wa kujaribu dawa hata kama labda wakati mwingine kweli ni nzuri. Mbaya zaidi dawa zenyewe hizo ambazo bahati mbaya siyo common, zinauzwa bei kubwa sana. Ifike wakati serikali ipige marufuku uuzaji holela wa dawa na kwamba dawa yoyote kabla haijaingia mitaani sokoni lazima ipimwe na kupitishwa na serikali. Tukifikia hatua hiyo, sisi waoga tutaamini na tutakuwa wepesi kununua.

Nadhani bado hujaelewa. Kama wewe unakwenda kununua dawa bila kuandikiwa na Daktari inabidi nikuulize kama unayo akili na busara za kutosha. Hayo maelezo yote uliyoandika hapo hakuna linaloendana na hiyo thread yangu. Mimi siuzi dawa. Mfano ukiugua Malaria ukaenda Hospitalini ukaandikiwa ukanunue Pharmacy zile ndizo zinaitwa dawa na zenye sifa mojawapo ya kutibu kwa muda mfupi au kuudanganya mwili kwa muda mfupi huku zikiacha madhara mengine yasiyojulikana.
 
Ama Kwel Dunia Ina Mambo Na Unaambiwa Mambo Tunayoyafahamu Hayafiki Hata Nusu Ya Yale Tusiyoyajua Hapa Duniani. Mkojo N Tiba? Kuanzia Kesho Naanza Utafiti Mzizimkavu. Inawezekana Hii Ikawa Dili Na Ikanitoa Kmaisha.
 
kama mwaka wa nne nasumbuka na ulcers nimezunguka hospital kibao nime tumia tiba mbadala lakini bado sijafanikiwa b saizi nazidi kuteseka kichwa kinauma kila mda uwezo wa kufikiria umepungua sana hasira zinaongezeka maumivu makali ya tumbo yanniuma sana natamani nihairishe hata masomo naomba ushauri wenu.
 
Pole sana mkuu subiri tu watakuja wataalamu humu kukusaidia pole sana Mungu akuponye.
 
Back
Top Bottom