Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Je hiyo ni bei ya kichupa hicho kimoja tu? Au ndiyo full dose? Kuna verification yoyote ya mgonjwa kupona? Au ni loliondo style! Je muna utaratibu wowote wa kufuatilia maendeleo ya mgonjwa? Au akishanunua product yenu ndio hakuna kujuana tena,afe, apone ni shauri yake!! Kiasi cha pesa nilichotumia mpaka sasa kujitibu vidonda vya tumbo ni sawa na gharama ya kujenga dispensary ya kijiji,na bado tatizo liko palepale, je hii ya kwako ina tofauti gani kimsingi na nyingine nilizotumia? Hadi sasa nimeshabugia KIKOMBE cha loliondo,fiterawa,vitunguu swaumu,juice ya kabeji nyekundu,asali na maziwa ya ngamia nk,nijibu hayo nitakuja mbio kupata tiba yako, asante.
mkuu unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na dawa zote zimeshindwa kazi...?
 
vidonda vya tumbo vinatibika na mimi mwenyewe ni shahidi maana nimepona. tatizo ni kwamba watu wengi hawafuati masharti ya dawa au madaktari huwaandikia dozi isiyo na mlolongo mzuri.vidonda hivi asilimia zaidi ya tisini husababishwa na bakteria waitwao helicobacter pylori. ni asilimia chache husababishwa na stress au matumizi ya dawa kama asprin. dalili kubwa ni maumivu kwenye tumbo la juu ambalo mara nyingi hutulia baada ya kula. pia mtu hupata kinyesi cheusi ambacho hutokana na damu iliyo meng'enywa tumboni (ukiona damu kwenye kinyesi ujue ni tatizo lingine). matibabu ya vidonda huusisha dawa tatu na hulenga zaidi kuua hao wadudu. 1.metronidazole (flagyl) 2. clarithromycin 3. omeprazole. badala ya metronidazole mtu anaweza kutumia amoxicillin lakini clarithromycin lazima iwepo.

twende kwenye dozi.
1.unatumia omeprazole 20mg mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 14
2.clarithromycin 500mg mara mbili kwa siku kwa siku 14
3.metronidazole 500mg kwa mara mbili kwa siku 14 au badala yake waweza tumia amoxicillin 1g mara mbili kwa siku kwa siku 14
kumbuka dawa zote hizi unakuwa unazitumia kwa pamoja
pia ili usikosee angalia uzito wa dawa mfano tembe ya metronidazole (flagy) mara nyingi huwa na uzito wa 200mg hivyo utameza viwili na nusu kufika 500mg.
pia amoxicillin huwa na uzito wa 250mg hivyo utameza vinne kufika 1g na kama unameza mara mbili utameza vinne asubuhi na vinne jioni

mimi nilitumia dozi moja ambayo huchanganya dawa zote nne ambazo nilitumia kwa siku kumi
1.omeprazole 20mg mara mbili kwa siku kwa siku ya kwanza hadi ya kumi
2.amoxicillin 1g mara mbili kwa siku kwa siku ya kwanza hadi ya tano
3.metronidazole 500mg mara mbili kwa siku siku ya sita hadi ya kumi
4.clarithromycin 500mg mara mbili kwa siku siku ya sita hadi ya kumi.
hapa wadudu hawawezi kuchomoka.

nafikiri nimeeleweka, sina njia nyingine rahisi ya kurahisisha (sina fedha wala dhahabu ila kile nipatacho ndicho nikupacho, )


RED GIANT, thanks for sharing this info. Mimi siko TZ, lakini niliumwa vidonda mwaka 2008, na hii ulioitoa ndio tiba niliyopewa na dactari wangu. Baada ya kupimwa na kuthibitishwa kuwa nilikuwa na vidonda vya tumbo, nilipewa dose kama ilivyo hapo juu. Baada ya kutumia dose hii nilipona kabisa. Sijawahi kuhisi au kusikia tatizo hili tena.
 
Kama una unasumbuliwa na hivi vidonda vya tumbo mie nna dawa ya asili,nicheki kwenye e-mail gasperylasway@gmail.com au nipm kwa maelezo zaidi,ntakutumia dawa au utakuja kuchukua mwenyewe kisha uchanganye na asali chupa ndogo ya konyagi ikiisha najua utakua umepona,ndipo utoe chochote kama shukran kwani nakusaidia tu
 
REISHI
Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.
FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida
CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

GOLDEN HYPHA
Bidhaa hii inatokana na uyoga wa njano na uyoga mweupe wa kawaida.
FAIDA ZA GOLDEN HYPHA

  • Inasaidia kujikinga na saratani(kansa)
  • Kuzuia kuenea kwa saratani(kansa) ya mwili
  • Kujenga upya mfumo wa kinga mwilini na kuuimarisha
  • Inaondoa madhara ya baadaye na matibabu ya kansa
  • Inaondoa uvimbe mwilini
  • Inatibu matatizo ya ini
  • Inaongeza ute ute tumboni, puani,machoni na ukeni
  • Kutibu matatizo ya ngozi
  • Kupambana na bacteria na virusi

Kwa yeyote anayehitaji kuuliza swali au kutaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia email ishealthy@hotmail.com
Gharama za REISHI ni Tsh 85000/-, GOLDEN HYPHA ni 72000/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-


wapi zapatikana?
 
achana na rahabu mimi nilikuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa mda mrefu(miaka sita hivi)nilipewa dawa na mama mmoja yuko kigamboni,dawa yake ni unga unalamba(mchanganyiko wa mizizi ambayo siijui),ninachojua mimi nilishapona baada ya kutumia ile dawa na wote niliowaelekeza kwake,haichanganywi na maji wala nini,unalamba tu kwa siku mara 3 kwa wiki moja...
anapatikana kwa hii namba;0719869046,bei yake cheap sana around 50,000/=
 
And who are you, to dictate what and wat not to be done here? Kama products zako hazijakubalika shawishi kwa upole bwana, nini kutuwia mkali hapa?
Inatakiwa kukiwa na thread uwe unachangia kwa namna hii

Mimi nilitumia omeprazole capsules. Lakini sikushauri atumie dawa bila kuzungumza na daktari wake. Jaribu kuigoogle. Mie ile tiba ya moto kwenye glass sijui nini niligoma kabisa. Afu siku hizi umehama clinic yetu ama MziziMkavu kakuhamishia porini kuchimba dawa.
King'asti msaada wa hiyo dawa ya chemba moyo. baba anayo
 
Last edited by a moderator:
king'asti majina ya dawa za MziziMkavu zinanipa raha alinituma kuchimba kugaia wagonjwa wake nikasahau majina halafu na wewe ukawakimbia
 
achana na rahabu mimi nilikuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa mda mrefu(miaka sita hivi)nilipewa dawa na mama mmoja yuko kigamboni,dawa yake ni unga unalamba(mchanganyiko wa mizizi ambayo siijui),ninachojua mimi nilishapona baada ya kutumia ile dawa na wote niliowaelekeza kwake,haichanganywi na maji wala nini,unalamba tu kwa siku mara 3 kwa wiki moja...
anapatikana kwa hii namba;0719869046,bei yake cheap sana around 50,000/=

Hivi dawa inauzwa elfu 50,000/= na inasemwa ni bei rahisi?,mi nilidhani elfu 5, ama kweli watu wanateseka.
 
KIBOKO NI HII, NI PM KAMA UTAHITAJI. IPO SUPER:


[TABLE="class: wsite-multicol-table"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"][h=2]Splina Liquid Chlorophyll
A NUTRITIONAL DRINK MADE OF FRESH AND PURE LIQUID CHLOROPHYLL FROM PLANTS[/h][/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"]
4119367.jpg


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: wsite-multicol-table"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"]
2004701.jpg


[/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"]
Our daily diet should consist of 20% acidic and 80% alkaline food to maintain a healthy body. A healthy body should have an alkaline PH level of about 7.3 to 7.4.

Diets based on acidic food will cause high acid levels in our body. In the long run, this will cause various illnesses such as diabetes, high cholesterol and stroke. To ensure your daily alkaline needs, we recommend Splina Liquid Chlorophyll.


4190653.jpg


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




[TABLE="class: wsite-multicol-table"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"]


Splina Liquid Chlorophyll is a nutritional drink made of fresh and pure liquid chlorophyll from plants. It is a rich source of natural minerals, vitamins, proteins, trace elements and anti-oxidants, which are essential in balancing and maintaining the alkalinity of the body



[/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"]It is a natural source of nutrients that are vital for optimum health.One tablespoon of pure Splina Liquid Chlorophyl is equivalent to 1kg of vegetable consumption. It is a natural source of nutrients that are vital for optimum health.

Extracted from the father plant called Alfalfa which grows to just a meter high but its roots goes down to 15 feet deep. Thus, this marvelous products is packed with loads of essential nutrients to fight multiple diseases.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




[TABLE="class: wsite-multicol-table"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"]
1303303487.jpg


[/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"][h=2]Splina Liquid Chlorophyll is rich in:[/h]
- Zinc - Iron - Calcium
- Selenium - Protein - Chromium
- Vitamin E - Biotin - Phosphorous
- Vitamin C - Folic Acid - Potassium
- Vitamin A - Pantothenic Acid - Magnesium

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





3 MAIN FUNCTIONS


  • CLEANSING - A powerful cleansing agent, chlorophyll cleanses and detoxifies the digestive system, the bowels, liver and kidneys, it also purifies the blood so that the body is ready to repair and rebuild itself. Chlorophyll increases the supply of fresh, oxygenated blood for a more youthful metabolism and vitality. It also deodorizes the entire body to make you feel more refreshed and invigorated; and free from flatulence, bowel irregularity, as well as mouth and body odor.

  • BALANCING - Chlorophyll balances body acid-alkali levels, boosts the functions of the body systems and helps balance hormone levels. It normalizes the beneficial intestinal flora, stimulates tissue regeneration and accelerates the healing of wounds and burns.

  • NOURISHING - Chlorophyll helps increase red blood cells in our body, enhances the oxidation process and stimulates cell re-generation. It also assists in digestion, regulates calcium in the body and increases iron absorption. Thus, Chlorophyll can help in cases of anemia and other blood deficiency conditions. It is known to promote cell regeneration and reproduction as well as assist in strengthening the immune system.
HEALTH BENEFITS

  • EXCELLENT SOURCE OF NUTRIENTS - It is very high in RNA and DNA and has been found to protect against the effects of UV radiation.
  • INCREASES BLOOD COUNTS - Assists red blood cell generation to ensure sufficient oxygen and nutrients for cell renewal. It helps to either cool or warm the body and adapt to environmental changes.
  • BOOSTS THE IMMUNE SYSTEM - Accelerates tissue cell activity and normal re-growth of cells to help the body heal faster.
  • INCREASES OXYGEN SUPPLY IN THE BLOOD - This helps maintain optimum blood flow all throughout the body, and regulates blood pressure to healthy levels.
  • REDUCES WRINKLES AND AGING - The results are smoother skin, clearer complexion and youthful looks.


OTHER HEALTH BENEFITS


- Discharges Toxins through Feces.
- Reduces Pesticide Residue and Toxin
- Balances Body Acid-Alkali Level
- Assists in Increasing Blood Counts
- Reduces Wrinkles and Aging
- Promotes Cell Regeneration and Boosts the Immune System


Following is a list of disease conditions that have either improved or cleared up entirely by using liquid chlorophyll in conjunction with a living foods diet:
- Hepatitis and other liver diseasesAll forms of anemiaAsthma and hayfeverPyorrheaVaricose veinsHemorrhoids
- Ulcers-internal and external
- High and Low blood sugar
- Offensive body odors
- Sore throat



Question & Answer:

Q: Why do my feces appear greenish after taking Liquid Chlorophyll?
A: Before total cleansing takes place, the body fails to absorb all the goodness of chlorophyll and the excess gets discharged. Once toxins are cleared, absorption will then improve and feces will no longer appear green. This means your body is ready to take in all the nutrients in chlorophyll.
Q: Can Liquid Chlorophyll be used as an anticeptic?
A: Yes. With the cleansing power it has, Liquid Chlorophyll is effective in removing bad breath and body odor. Daily intake of Liquid Chlorophyll ensures total body cleansing from the internal organs to the skin.

Q: Is Liquid Chlorophyll good for external use?
A: Yes, chlorophyll can be used externally as it can reduce infections and eliminate bacteria. Apply externally on cuts, pimples and other skin problems.

Q: Why do some people encounter discomforts like dry throat, headache, feverish and thirst after drinking concentrated chlorophyll?
A: These are positive reactions after drinking chlorophyll, a result of the cleansing function. After this, you will feel high-spirited and energetic. To speed up this cleansing effect, you may want to drink plenty of water or begin with lower dosage, then gradually increase intake as your body slowly adapts to the changes.

Q: Can I take Liquid Chlorophyll while I am taking my doctor's prescribed medicines?
A: Yes you can take Liquid Chlorophyll. It will help the liver to detoxify the side effects of medicine.

Q: Can I take Liquid Chlorophyll during fasting?
A: Yes, will help cleanse and detoxify your body while supplying it with the nutrients it needs to survive. It is safe and soothing.

Q: Is Liquid Chlorophyll safe for pregnant women?
A: Actually, Liquid Chlorophyll is a good food supplement for pregnant women as well as nourishing mothers. It contains high quantity of iron and calcium, which is essential for blood and bone building especially for mother and the baby. It does not cause constipation.

Q: Is Liquid Chlorophyll safe for infants?
A: Yes. In fact, Liquid Chlorophyll is safe for all ages. For baby's needs, a few drops of chlorophyll into the mild or lukewarm water will be enough for additional nourishment.

Q: With improved health conditions after taking Liquid Chlorophyll, can I discontinue its consumption?
A:
Yes, you can. Nonetheless, it is recommended that you continue with chlorophyll intake daily to ensure continuous supply of essential nutrients for good health.


[TABLE="class: wsite-multicol-table"]
[TR="class: wsite-multicol-tr"]
[TD="class: wsite-multicol-col"]

[/TD]
[TD="class: wsite-multicol-col"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]






[h=2]Website Disclaimer[/h]The information contained in this website is for general information purposes only. Some of the information provided are excerpts from the corporate website and while we endeavour to keep the information up to date and correct, we make no representations or warranties of any kind, express or implied, about the completeness, accuracy, reliability, suitability or availability with respect to the website or the information, products, services, or related graphics contained on the website for any purpose. Any reliance you place on such information is therefore strictly at your own risk. We encourage visitors to also visit the Edmark International Corporate Website.
 
Hivi dawa inauzwa elfu 50,000/= na inasemwa ni bei rahisi?,mi nilidhani elfu 5, ama kweli watu wanateseka.
mkuu huyu mama baada ya kuona wateja wanakuwa wengi akapandisha bei,mimi aliniuzia 7000 sababu ni mmoja kati ya wateja wake wa mwanzo mwanzo,..sielewi kwa nini binadamu wana tamaa kiivi,lakini seriously dawa yake inatibu,mimi nilishakata tamaa ya kupona vidonda vya tumbo..nime sema nafuu sana nikicompare na wengine na uponyaji wake!!!anyways,it's your choice
 
The Boss mama yangu anataabika sana na hivi vidonda katumia dawa ya Rahabu miezi 6 imepita na alifuata masharti mpaka huruma aliumwa malaria akapewa dawa zikatibua na alipimwa akaambiwa vipo bado kapewa dozi tena mi hata nashindwa kuamini hizi tiba mbadala watu wanatumia afya za watu kwa interest zao
pole mimi mama yangu alipona .....mke wangu imedunda!
 
Mkuu mimi nagonga specific kwa huyu mganga uliyemtaja ila kwa dawa nyingine sina ushahidi.Mwaka 2011 mwezi 3 nilitumia hiyo dawa akiwa bado pale shell buguruni,dozi ni galoni za lita tano zipatazo 6,kila moja kipindi hicho 35000,pamoja na other charges total ni 240000.Kwa hakika nilifuata masharti kikamilifu lakini ni kama nilinunua dawa ya kuharisha tu.labda nilienjoy kulewa maana haina tofauti na mbege hata kidogo.Hawa ni wezi na tapeli wa kawaida wala usizuzuke naye labda wengine
 
kuna watu wamepona wakiwasoma mnayoandika humu watawashangaa .....kumbuka kuna magonjwa kibao yana dawa lakini yanaua watu!

Washangae nini kwani mbona kuna wanaopona magonjwa mengine wengine hawaponi dawa ileile
 
REISHI
Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.
FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida
CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

GOLDEN HYPHA
Bidhaa hii inatokana na uyoga wa njano na uyoga mweupe wa kawaida.
FAIDA ZA GOLDEN HYPHA

  • Inasaidia kujikinga na saratani(kansa)
  • Kuzuia kuenea kwa saratani(kansa) ya mwili
  • Kujenga upya mfumo wa kinga mwilini na kuuimarisha
  • Inaondoa madhara ya baadaye na matibabu ya kansa
  • Inaondoa uvimbe mwilini
  • Inatibu matatizo ya ini
  • Inaongeza ute ute tumboni, puani,machoni na ukeni
  • Kutibu matatizo ya ngozi
  • Kupambana na bacteria na virusi

Kwa yeyote anayehitaji kuuliza swali au kutaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia email ishealthy@hotmail.com
Gharama za REISHI ni Tsh 85000/-, GOLDEN HYPHA ni 72000/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
Samahani Dokta hayo madini chuma,chokaa na zinki yanapatikana kwenye vyakula?Kama jibu ni ndio naomba unitajie hivyo vyakula.Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom