Ugonjwa wa vijana ndo umauti wao

Ugonjwa wa vijana ndo umauti wao

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO.
1737274270835.jpg

Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro.

Yes nawakumbusha Vijana 👇

Mashangazi hupenda vijana kwa sababu ya Pumzi na ni Wateke Wanakuna mpaka Pochi manyoya zao zinaitika na wanaipata Raha ambayo pengine hawakuwahi ipata kwa hao Wajomba ambao hawana Muda nao.

Vijana hupenda Mashangazi ili kuendekeza Uzinzi pia maana damu zao zinachemka atamkula shangazi na pesa anahongwa kisha anakwenda kumkula Girlfriend wake na kumpa pesa alizopewa na Mshangazi.

Kama ilivyo tabia ya Kiume hupenda kutoa Mshangazi akimuhonga nae anakwenda kuonyesha Umwamba kwa Mpenzi wake ajue yakuwa anao uwezo wa Ku-Provide.

Tatizo linalowafanya vijana kuwakwepa Watoto wa kike ambao wanaendana nao ni huduma, naam kutoa vi ten ten haa ila kuwala na Ku-Enjoy nao hupenda mwishowe mnatumbukia kwa Mashangazi.

Nikutonye na uelewe kuwa 👇

Mshangazi hana shida maana Dunia kaiona kitambo taabu na shida za Dunia na karaha zake pia anazijua na anaelewa kila kitu.

Anaelewa kila kitu kwa sababu wakati anakua amekuwa na mahusiano tofauti tofauti na amepigwa sana na vitu vizito mpaka akaolewa so hakuna geni kwake.

Na bado amekuwa na Mjomba tangia ujana wake mpaka hapo alipo sasa tangia ameolewa, na kafanyiwa fujo nyingi na Mjomba mpaka Kaletewa na UKIMWI akabakia hana thamani tena.

Katika kujitafutia Afya yake akanona akajilidhikia akaikubali hali yake akapendeza swafiii mpaka Mwili unakuvutia maana ananyama si haba.

Mali anazo na kaachiwa na Mumewe na wengine walishatengana na Waume zao wanajua pakuipatia pesa na wana mihela balaa.

Taabu ipo kwa kijana wewe Mvivu mwenye Umejaa Mihemko ya Ngono eti Mishangazi kule chini kwao kwa Moto na Ujoto wao mzuri alafu hawanaga makuu ni kweli ila nikupe pole sana.

Ndiyo hawanaga Makuu ila ukuu wao upo hapo unapoona ni pana Joto na pana Moto unaokukuna mpaka unapagawa nae.

Yes huo unaouhisi ni Ujoto na Moto wa Hisia ni Moto kweli ambao umeubeba UKIMWI na Moto huo utakuua taratibu mpaka utalielewa somo.

Yes wewe si ni kijana una Kinga ya kutosha subiria miaka 9 mpaka 15 mbele ndo utavuna huo Ujoto wa Kihisia unaoutafsiri na unaona unakupa raha hivi sasa.

Usichokijua Jimama ama Lishangazi Raha kuliona limekaa hapo limetepeta kwa Minyama inayokutia wazimu kama kielelezo picha kilivyo ila kuna hasara kubwa sana kwako Mental, Physical and Saycologically na hujui.

Nikukumbushe yakuwa unapoliwaza lishangazi lenye 45+ mpaka 55+ basi waza pia na 25+ yako mpaka 35+ yako pengine utapona.

Ujue we bado kijana na Mtoto sana hujala vya Dunia na Vijana wenzako why uhangaike na Waliokula mema ya Dunia na bado wanaendelea kula mema ya Dunia nawewe.

Hugundui tu anawatoto kama wewe na huoni wewe ni sawa na katoto kao?, hivi hugundui yakuwa unachezewa Rafu na huelewi ama hushituki?.

Tafuta kijana mwenzako Mpende Mwandae na mfanyie mambo mema na Mazuri atajawa hisia nawewe na atakuweka Moyoni na Muendelee kuufurahia Uumbaji wa Mungu.

Achana na Fikra za Kuufurahia Uumbaji wa Mungu na aliekuzaa Eboo hainogi bali unavuna Laana kajinga wewe jitambue.

Yaani Una furahia Kudinyana na Mama Mtu mzima.
Na unafurahia Kudinyana na Baba/Babu mtu mzima.

Dada mwache Baba/Babu alee wanawe na Mkewe.
Kaka mwache Mama/Bibi alee Mumewe na Wanawe.

Wakujing'amua ni wewe ambae umri bado wao hawana cha kupoteza wapo nawewe Kufurahisha nyoyo zao maana hakuna Maisha utakayo yajenga na Mtu mzima kumbuka hilo.

Asalamalekhum
Bwana wetu Yesu Asifiweee
Good morning my follower 😆😆😆
 
Kula kitu roho inapenda.
Vibinti ambavyo ni rika letu viko na vibabu kwenye fukwe za bahari vinachezewa,
Sasa sisi kuchezea mishangazi inakuwa nongwa?
 
Kula kitu roho inapenda.
Vibinti ambavyo ni rika letu viko na vibabu kwenye fukwe za bahari vinachezewa,
Sasa sisi kuchezea mishangazi inakuwa nongwa?
Ndo mana Nimepiga kote kote Sina Kaa upande mmoja
 
Kama ilivyo andikwa
Ngoja nikupe code ambayo wengi hawaifahamu

Ukiwa mzee ili ujisikie kijana au ubalance kati ya uzee na ujana unahitaji kijana au binti mdogo akukumbushe old good days

Na ukiwa kijana ili ujisikie ni mtu mzima unahitaji shuga dady au shuga mumy

Ndio maana vibint vinaliwa na wazee na mashangazi yanaliwa na vijana

Kuhusu maradhi hayo ni mambo mengine
 
Ngoja nikupe code ambayo wengi hawaifahamu

Ukiwa mzee ili ujisikie kijana au ubalance kati ya uzee na ujana unahitaji kijana au binti mdogo akukumbushe old good days

Na ukiwa kijana ili ujisikie ni mtu mzima unahitaji shuga dady au shuga mumy

Ndio maana vibint vinaliwa na wazee na mashangazi yanaliwa na vijana

Kuhusu maradhi hayo ni mambo mengine
Hii Sio kanuni, unatakiwa ukalee wake/mume zenu na wajukuu zenu Kwa pamoja.
Imeisha iyo🙏🏽
 
Back
Top Bottom