Ugonjwa wa wadudu kula uti wa mgongo na ubongo

Sema ukweli uyo rafiki yako ni wa kike au wa kiume?
Mimi nahisi alikua wa kike na kama alikua wa kike basi alikua HIV +ve
 
kweli hata me kuna mtu namjua alifariki kwa huu ugonjwa,alikua na HIV tayari
 
Duh!! Alhamdulillah vimegusana, hatar hii sheikh wangu..

Maradhi mengine haya tuyasikie hv hv, mwenyezi mungu atuepushe.
 
Sema ukweli uyo rafiki yako ni wa kike au wa kiume?
Mimi nahisi alikua wa kike na kama alikua wa kike basi alikua HIV +ve
nahhah,kwani wakike ndio rahisi kupata ukimwi,but alikua men
 
Ninachojua only crptoccocal meningitis ndo ina relation kubwa na Immunosupression hizi nyingine zinapata mtu yeyote kwa sababu bacteria wanaweza kufikia ubongo kwa direct spread due to trauma,hematogeneous spread,extension from the nasopharynx,invasive procedures like LP, hata huko kuambukizwa kwa njia ya hewa ndo nimesikia kwako leo... kwa hiyo ndugu naomba ufuatilie vizuri uje uondoe utata hapa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…