Ugonjwa wa wadudu kula uti wa mgongo na ubongo

Ugonjwa wa wadudu kula uti wa mgongo na ubongo

mkuu,kiufupi ni hivi,nilikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye hivi karibuni alifariki dunia,sasa nilipouliza chanzo hasa kilichopelekea kif chke nikaambia alikuwa kitandani kwa wiki mbili nyuma kabla ya kifo chake akihangaika na ugonjwa huo yani wadudu kuingia kwenye uti wa mgongo na kutafuna ubongo,ndio maana nikataka kujua huu ni ugonjwa gani coz jamaa alikua rafiki yangu mkubwa sana na kifo chake hata leo nasononeka
Sema ukweli uyo rafiki yako ni wa kike au wa kiume?
Mimi nahisi alikua wa kike na kama alikua wa kike basi alikua HIV +ve
 
Ila huu ugonjwa wengi c rahisi kumpata mtu wa kawaida mala nyingi huwapata watu wenye HIV coz kinga zao zinakua ndogo saana ila otherwise mwili unaweza kuzuia fresh nakumbuka banza stone pia huu ugonjwa ndio uliomuondoa dunian pia kuna bro kigogo pale nae huu ugonjwa umemuondoa ko mara nyingi HIV positive wako katika hatari kubwa sana ya kushambuliwa na hu ugonjwa
kweli hata me kuna mtu namjua alifariki kwa huu ugonjwa,alikua na HIV tayari
 
Sawa mkuu ila kwakuwa hauja taja dalili wala kiashiria chchte chaku onyesha ni ugonjwa gani kati ya hayo hapo juu inakuwa ngumu kuku elewesha. Lakini common huwa ni cryptoccocus Meningites. Huu ugonjwa huenezwa na fungal aina ya cryptoccocus hushambulia uti wa mgongo na mfumo mzima kwa ujumla.
Transmtion: huambukizwa kwanjia ya hewa pia kwanjia ya vumbi saana sana. Pia huwapata watu ambao kinga zao za mwili zimeshuka sana sana HIV +ve.
Dalili kubwa ya huu ugonjwa ni homa, maumivu makali ya uti wa mgongo, dalili kubwa ya huu ugonjwa ni
stiff neck shingo inakuwa ina kakamaha mgonjwa ana shindwa gusisha kidevu kwenye kifua.
Diagnosis yake ni CSF(
celebral spinal fluid) hii fluid huvutwa kwnue lumber pingili za uti wa mgongo... ni moja kati ya specimen collection inayo uma saana hosptal nafikir kuliko zote.
Hii homa ya uti wa mgongo ina sababisha vifo vingi vya haraka kama mtu hajapata matibabu kwa u haraka.
Nkipata mda nita ya elezea hayo mengine alafu ww uta unganisha dot.....
Duh!! Alhamdulillah vimegusana, hatar hii sheikh wangu..

Maradhi mengine haya tuyasikie hv hv, mwenyezi mungu atuepushe.
 
Sema ukweli uyo rafiki yako ni wa kike au wa kiume?
Mimi nahisi alikua wa kike na kama alikua wa kike basi alikua HIV +ve
nahhah,kwani wakike ndio rahisi kupata ukimwi,but alikua men
 
Sawa mkuu ila kwakuwa hauja taja dalili wala kiashiria chchte chaku onyesha ni ugonjwa gani kati ya hayo hapo juu inakuwa ngumu kuku elewesha. Lakini common huwa ni cryptoccocus Meningitis. Huu ugonjwa huenezwa na fungal aina ya cryptoccocus hushambulia uti wa mgongo na mfumo mzima kwa ujumla.
Transmtion: huambukizwa kwanjia ya hewa pia kwanjia ya vumbi sana sana. Pia huwapata watu ambao kinga zao za mwili zimeshuka sana sana HIV +ve.
Dalili kubwa ya huu ugonjwa ni homa, maumivu makali ya uti wa mgongo, dalili kubwa ya huu ugonjwa ni
stiff neck shingo inakuwa ina kakamaha mgonjwa ana shindwa gusisha kidevu kwenye kifua.
Diagnosis yake ni CSF(
celebral spinal fluid) hii fluid huvutwa kwnye lumber pingili za uti wa mgongo... ni moja kati ya specimen collection inayo uma sana hosptal nafikir kuliko zote.
Hii homa ya uti wa mgongo ina sababisha vifo vingi vya haraka kama mtu hajapata matibabu kwa u haraka.
Nkipata mda nita ya elezea hayo mengine alafu ww uta unganisha dot.....
Ninachojua only crptoccocal meningitis ndo ina relation kubwa na Immunosupression hizi nyingine zinapata mtu yeyote kwa sababu bacteria wanaweza kufikia ubongo kwa direct spread due to trauma,hematogeneous spread,extension from the nasopharynx,invasive procedures like LP, hata huko kuambukizwa kwa njia ya hewa ndo nimesikia kwako leo... kwa hiyo ndugu naomba ufuatilie vizuri uje uondoe utata hapa kidogo
 
Back
Top Bottom