Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
pregnancy. Mbali na hilo, mwanamke hupata maumivu sugu kwenye nyonga na ugonjwa wa mifupa arthritis aina ya Reiters syndrome.
Vilevile, Chlamydia huweza kusababisha ugumba kwa mwanamke kama hatapata tiba. Si hayo tu, kwa wanawake wajawazito, chlamydia husababisha wajifungue kabla ya wakati wake.
Pia mtoto anaweza kuzaliwa na maambukizi kwenye masikio, sehemu za siri, macho na kwenye mapafu yaani homa ya mapafu, na kama mtoto hatapatiwa tiba ya haraka ya macho baada ya kuzaliwa basi anaweza kuwa kipofu.
Dalili za chlamydia kwa watoto wachanga hutokea katika kipindi cha wiki mbili kwenye macho, na iwapo ni homa ya mapafu dalili zake hujitokeza katika kipindi cha wiki 2 hadi miezi 3 baada ya kuzaliwa.
JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA ZINAA WA CHLAMYDIA.
Kwanza kabisa kama nilivyoeleza kwenye kipindi kilichopita, njia sahihi ya kujikinga na magonjwa ya zinaa ni kuacha au kuepuka kujamiiana au kufanya ngono zembe na sizizo salama.
Kwa wanawake wajawazito, ni vizuri kuhudhuria kliniki mapema wakati wa ujauzito na kupimwa vipimo mbalimbali ambapo kimojawapo ni cha kuangalia iwapo mama mjamzito ameathirika na ugonjwa huu na kupatiwa matibabu mapema.
Vile vile tumia kondomu
Kwa wale wenye maambukizi wanashauriwa kuchukua tahadhari ya kutowaambukiza wapenzi wao kwa kufanya ngono salama,

pia kuepuka kushika macho kwa kutumia mikono na hata ikiwezekana kuwaepuka wapenzi wao ili kuwalinda na maambukizi.
Vilevile kwa wale ambao wapenzi wao wameambukizwa au wameonyesha dalili za ugonjwa huu, wanashauriwa na wao pia kupata tiba hata kama hawana dalili zozote.
Pia, kondomu ihusike kwa kila tendo la ngono.
Naam wasomaji,
kwa hakika kama wasemavyo wahenga kinga ni bora kuliko tiba, basi tujilinde na kujiepusha na magonjwa yote yakiwemo ya zinaa yanayoweza kuepukika,
daima tuzilinde afya zetu!Vilevile, Chlamydia huweza kusababisha ugumba kwa mwanamke kama hatapata tiba. Si hayo tu, kwa wanawake wajawazito, chlamydia husababisha wajifungue kabla ya wakati wake.