Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

Atwoki

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
706
Reaction score
383
Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
 

Attachments

  • 20250125_164148.jpg
    20250125_164148.jpg
    654.7 KB · Views: 12
Tafuta wataalam wa kilimo watakusaidia
 
Sina uzoefu na zao la ufuta ila hyo Hali ya majan kujikunja ninavyojua n barafu imezid jaribu kupiga dawa za barafu huenda ikasaidia
 
Back
Top Bottom