Ugonjwa

Ugonjwa

Jumbe watson

Member
Joined
Dec 26, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Samahan jamani... Mimi ninatatizo la kujoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku sijui tatizo ni nini jamani nisaidien
20190317_153638.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan jamani... Mimi ninatatizo la kujoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku sijui tatizo ni nini jamani nisaidienView attachment 1065939

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa maelezo yako unaweza ukawa na tatizo la sukari.
Muhimu Fanya hima ukamwone daktari kwa uhakika zaidi.

Majibu ya huku mitandaoni yanaweza kukupoteza ukachelewa kupata tiba sahihi kwa tatizo lako.
 
Pole kaka! Tatizo la kukojoa mara kwa mara huwa linaambatana na kisukari au kuna shida ktk mfumo wako wa figo (nephron, proximal convoluted tubes, Distal convoluted tubes nk)

Au huenda kuna dawa unatumia mf Furosemide husababisa balance ya ions kwa figo kutokaa sawa na hivyo kupelekea more sodium ions, potassium ions or calcium ions kuwa more kwa external layer na kupelekea more water kuwa urinated.

Pia kama unakunywa pombe, husababisha imbalance kwenye mfumo wa figo zako.

Ushauri: Nenda hosp kaangalie sugar level then utashauriwa dawa za kutumia.

Kukojoa ni jambo jema as unaondoa baadhi ya wastes from the body, ila ikiwa abnormal unatakiwa kuwahi hosp.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sukari mwilini (Diabetes)
There are diabetes warning signs and symptoms that both women and men have in common, for example:
  • Excessive thirst and hunger.
  • Frequent urination (from urinary tract infections or kidney problems)
  • Weight loss or gain.
  • Fatigue.
  • Irritability.
  • Blurred vision.
  • Slow-healing wounds.
  • Nausea.
 
Samahan jamani... Mimi ninatatizo la kujoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku sijui tatizo ni nini jamani nisaidienView attachment 1065939

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku sio Instagram, Twitter au Facebook umekosea kuweka picha yako. Kuhusu tatizo lako, ungeliweka vizuri tukaelewa ni wakati gani unakojoa mara kwa mara kama ni usiku au mchana pia kama ni wakati wote.

Je shida hiyo huwa ina muda mrefu yaani endelevu au huwa inakuja na kupotea? Ni katika misimu yote ya joto na baridi unakojoa kwa style hiyo? Je, unapenda kunywa maji mengi sana? je, huwa unafanya shughuli za kukaa muda mrefu bila kuufanya mwili kutoa jasho?

Unatumia aina gani ya vyakula na vinywaji katika mfumo wako wa maisha ya sasas? Naomba unijibu maswali haya ndipo tutakua na lakuchangia lakini pia unashauriwa kwenda hospital

Mkorintho wa 6
 
Kuweka picha mnisameh ni ugen wa huu mtandao kwangu.bt most usiku ndo nakojoa kojoa sana .kuhus muda nimedum na hili tatizo kwa muda wa miez 4-5 maana nligundua mwezi wa 12 ndo nikaanza kutafuta ufumbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom