Pole kaka! Tatizo la kukojoa mara kwa mara huwa linaambatana na kisukari au kuna shida ktk mfumo wako wa figo (nephron, proximal convoluted tubes, Distal convoluted tubes nk)
Au huenda kuna dawa unatumia mf Furosemide husababisa balance ya ions kwa figo kutokaa sawa na hivyo kupelekea more sodium ions, potassium ions or calcium ions kuwa more kwa external layer na kupelekea more water kuwa urinated.
Pia kama unakunywa pombe, husababisha imbalance kwenye mfumo wa figo zako.
Ushauri: Nenda hosp kaangalie sugar level then utashauriwa dawa za kutumia.
Kukojoa ni jambo jema as unaondoa baadhi ya wastes from the body, ila ikiwa abnormal unatakiwa kuwahi hosp.
Asante
Sent using
Jamii Forums mobile app