Ugumba kwa Wanaume

Ugumba kwa Wanaume

lahabi

Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
20
Reaction score
6


Ukosefu wa mbegu za kiume/zero sperm count/azoospermia unaotokana na uwiano usio sahihi wa vichocheo hasa ule unaosababishwa na kiwango kikubwa cha kichocheo cha FSH kuliko kile cha LH na Testestorone, hot tubes nk nini chanzo chake? Je, kwa level yetu ya tiba kitaifa inawezekana kurekebishika kama si kutibika kabisa? Tafadhali nahitaji maelezo ya kitabibu. Hospitali yetu ya taifa MNH hakuna vipimo vya kawaida tu
kama hormonal tests!!! nk. Kwa wenzetu majuu mf: Dr.Turek na wenziwe wameonyesha mafanikio makubwa katika tafiti zao juu ya ugumba wa aina mbalimbali kwa wanaume. Tusaidiane kwa anaefahamu vizuri, Ahsante.
 
Back
Top Bottom