Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanikiwa kuona wataalamu wa afya!?Waungwana wana JF Hili tatizo la utasa/ugumba linaondokaje. Nina mwezi wa 6 Sasa sijampatia mpenzi wangu ujauzito, Je ushauri jamani nifanye vipi kiafya ili aweze pata ujauzito