Ugumba/tasa unaondokaje!?

Ugumba/tasa unaondokaje!?

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
259
Waungwana wana JF Hili tatizo la utasa/ugumba linaondokaje. Nina mwezi wa 6 Sasa sijampatia mpenzi wangu ujauzito, Je ushauri jamani nifanye vipi kiafya ili aweze pata ujauzito
 
Pole mpendwa piga number hii kwa maelezo na dawa zipo utapona 0712757453
 
Waungwana wana JF Hili tatizo la utasa/ugumba linaondokaje. Nina mwezi wa 6 Sasa sijampatia mpenzi wangu ujauzito, Je ushauri jamani nifanye vipi kiafya ili aweze pata ujauzito
Umefanikiwa kuona wataalamu wa afya!?
 
Back
Top Bottom