Ugumu anaoupitia Harmonize ni kielelezo tosha kwanini sanaa yetu haikui. WCB inaua wasanii nje ya lable yao

Mziki ni biashara na biashara ni ushindani;ni kazi ya mameneja wake kumtafutia soko na kutumia kila njia inayowezekana mapato yaingie,iwe ni kushawishi vituo vya radio,tv n.k kupiga nyimbo zake au kutafuta masoko ya nje.
 
Konde gang kuweni "Mafia" wale matumbotumbo piga risasi ipite juu ya vichwa vyao ikagonge ukuta watashika adabu yao..lazima wakuogope
 
Naona mpaka mmemtaja mumewenu ndo kiuno kimetulia....mashabiki wengine wa WCB wana tabia za kike....maneno mengiii,kujionaaaa na kutaka kumpa mtu u Mungu mtu,wao ndo wana akili WAO ndo wanajua kiiila kitu upuuzi mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa wa wapi wewe!! Sijaongea chochote na wewe, zaidi ya wewe kila mara kushobokea posts zangu!! Cha ajabu zaidi unaibuka from nowhere unaanza matusi!! Umeachika na kwahiyo unatafuta basha kwa nguvu na kwahiyo ili ku-catch attention na umeonelea uwe unaingia matusi kama walivyo machoko wengi, au??Isitoshe hapa nimemuongelea Konde vs Diamond! Sasa how come unaumia kiasi hicho na kuanza matusi?! Au unakazwa na huyo na Konde B, na kwahiyo akizungumziwa tofauti unaumia, au?!!

Punguza speed za shobo kima wewe!!
 
Mnaosema Kondeboy anabaniwa woote Qumer tu, hamna akili kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Harmonize anachotakiwa kufanya ni kufanya kolabo kali za nje ili apate tuzo nyingi nje mfano mtv, soundcity and afrima na show. Ajijenge kiuchumi kwanza and then ndo arudi kujenga label yake bongo. Focus yake kubwa kwa sasa iwe nje sio ndani ya bongo.
 
Tatizo huo uwezo Hana , amebak kunywa twist tuu na kukimbia kimbia uwanjan akiwa amevua shati , his last kick ni kampeni za CCM , kwisha habar yake pimbi yule
 
Nilijua tu kuna wapuuzi watajibu utumbo lakini jamaa ameandika fikra Zake kwahiyo haina haja ya kujibu hovyo kama hutaki si kaa kimya!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nadhani Kuna kitu we are missing here,

Kwa ulimwengu wa sasa Muziki ni biashara n'a kwenye biashara we always work to beat our competitors. Sasa ili kushinda ni lazima ufanye ka SWOT Analysis kadogo angalau ambako katakusaidia kuwashinda washindani wako.

Sasa sitaongelea u superiority wa Diamond ila ntaangalia udhaifu wa Harmonize ambao kama haujamshusha basi utamshusha muda sio mrefu.
1. Never compete na aliyeko juu yako, compete na aliyeko level yako ili ukishafikia level ya aliyeko juu yako ndio uanze kushindana naye. Mfano leo Mo Cola haiwezi kushindana n'a coca-cola (ingawa zote ni cola) mon cola atashindana n'a Azam cola maana ndio wako level moja ya competición. Budget ya promotion tu ya Coca-cola inaweza kuwa total investment ya Metl nzima. But kwenye growth ipo siku sasa atafikia level hiyo ya kucompete na Coca-cola na Pepsi.

2. Kwenye entertainment, kamwe never participate au kuwa kwenye Frontline ya kisiasa. Politics is a belief and it goes beyond what we hear or see. Nimefika rahisi sana kumfanya mtu akasikiliza n'a kupenda Muziki wa mtu fulani abbaye ni oponent wa anayempenda lakini ni vigumu mno kumbadilisha mtu Imani yake kwenye dini ama Siasa. Harmonize lost zaidi ya nusu ya mashabiki wake alipoimba wimbo wa magufuli n'a kujiunga kwenye ziara kwa kujua ama kutojua. Akitaka ushahidi wa hili anaweza kuangalia myumbo wa wasanii Wetu baada ya uchaguzi wa 2015.

3. Make the right decision, hili ndio changamoto kubwa ya wasanii Wetu wengi. Kuna muda fulani unatakiwa kufanya maamuzi fulani n'a wakati mwingine hapana. Kuna wakati wa kukubali kubadilika n'a Kuna wakati wa kubaki n'a maamuzi yako n'a kuyasimamia.

Management ya Harmonize îwe n'a mlengo wa kibiashara n'a iache kutafuta sympathy. Wajue level Yao n'a wa compete kwa level Yao huku wakiwa wanakua. Kama mnahisi mnabaniwa kwenye social media, muinvest huko mbona kwenye mainstream media mnabebwa sana ambako Hawa wenzenu wanabaniwa sana n'a hawalalamiki?

Mwisho, Muziki ni biashara so do it as a business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No 1 na 3 ndo nimeelewa ila no 2 haimake sense sijakubaliana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…