D damashizo Member Joined Jan 20, 2011 Posts 61 Reaction score 15 May 29, 2012 #1 hivi wadau je ni kweli kunamasomo magumu na rahisi coz ugumu na urahisi wa masomo is subjective
The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 May 30, 2012 #2 Ugumu na urahisi unategemea bichwa la mtu!
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 May 30, 2012 #3 kweli naona inategemea na m2 2,maana me nashangaa wa2 wanasema science ngumu kuliko arts wakati hakuna masomo yaliyokua magumu kwangu kama ya arts,mpaka nikayakimbia
kweli naona inategemea na m2 2,maana me nashangaa wa2 wanasema science ngumu kuliko arts wakati hakuna masomo yaliyokua magumu kwangu kama ya arts,mpaka nikayakimbia