ugumu na urahisi wa masomo mbalimbali

ugumu na urahisi wa masomo mbalimbali

damashizo

Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
61
Reaction score
15
hivi wadau je ni kweli kunamasomo magumu na rahisi coz ugumu na urahisi wa masomo is subjective
 
kweli naona inategemea na m2 2,maana me nashangaa wa2 wanasema science ngumu kuliko arts wakati hakuna masomo yaliyokua magumu kwangu kama ya arts,mpaka nikayakimbia
 
Back
Top Bottom