Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola.
Uimara wa kiongozi utokana na uwezo binafsi wakukubali yanayofaa na kukataa yasiyofaa...ni bahati mbaya sana kwamba asilimia kubwa ya kurupu ana CCM wamelelewa kutii mamlaka kuliko kutii usawa, haki na ukweli.
Wengi wamechafuka kwakutekeleza Mambo yaliyowaumiza wananchi ili wawafurahishe wakubwa zao, hakuna aliyeishi maisha yake Bali waliishi maisha ya wengine.
Taifa linahitaji watu wenye uwezo binafsi Kama alivyojipambanua Profesa Assad kwa kukataa kuabudu watu nakuabudu Mungu huku akisimamia anachokiamini.
Magufulu alipata Urais si kwa sababu nyingine bali alikosekana mtu mwingine aliyejipambanua kwa kusimamia anachokiamini. Kama kipindi anaingia magu alikosekana kiumbe wa aina yake leo tutampataje miongoni mwa wanasiasa walewale?
Tuteue viongozi nje ya mfumo, tuteue viongozi nje ya top layer ya CCM. Tukamtafute asiye na makundi na anayedai haki