Kuna ukweli mwingi sana katika haya maneno yako.Mindset za watz ni kupambana na shida na si kuitatua na pia watanzania wengi hawajui hata serikali ina wajibu gani kwao huku basic concepts kama kodi hawazijui. Hivyo wao huchukulia maendeleo kama fadhila na stahiki yao ndio maana kuna wabunge wapo majimboni kwao miaka mingi na hawawajibishwi kwa sababu watanzania hawana mindset hizo
Kwa hiyo siamini kama umaskini utawashtua watz ubongo ila kitapofika kizazi kama cha 2000 ambacho kipo na maono na demands kwa serikali, kidogo CCM inaweza kufa natural death ila sio umaskini
Sidhani mkuuWananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo.
Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni nafuu mbona Tanzania kila mwezi bei inapanda kulikoni? Msione wananchi wako kimya wanaumia sana na matokeo yake ni siri yao.
Tusubiri uchaguzi wa mwaka huu na mwaka ujao.
Kwa nchi hii illio jaaa wajinga kwa asilimia 90? au unazungumzia Kenya?Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo.
Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni nafuu mbona Tanzania kila mwezi bei inapanda kulikoni? Msione wananchi wako kimya wanaumia sana na matokeo yake ni siri yao.
Tusubiri uchaguzi wa mwaka huu na mwaka ujao.
uchaguz hautakuwa suluhu , hapa kuna jambo litatokea soon , ccmu wamelala sana , na maadui wapo miongoni mwaoWananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo.
Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni nafuu mbona Tanzania kila mwezi bei inapanda kulikoni? Msione wananchi wako kimya wanaumia sana na matokeo yake ni siri yao.
Tusubiri uchaguzi wa mwaka huu na mwaka ujao.
UTASUBIRI SANAWananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo.
Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni nafuu mbona Tanzania kila mwezi bei inapanda kulikoni? Msione wananchi wako kimya wanaumia sana na matokeo yake ni siri yao.
Tusubiri uchaguzi wa mwaka huu na mwaka ujao.
CCM wanafarijiana kwenye mitandao ila wanajua wananchi wanaenda kulipa kisasi Cha 2020 ndiyo maana mkakati wao mkubwa ni wizi wa kulaWananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo.
Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni nafuu mbona Tanzania kila mwezi bei inapanda kulikoni? Msione wananchi wako kimya wanaumia sana na matokeo yake ni siri yao.
Tusubiri uchaguzi wa mwaka huu na mwaka ujao.
Ni kweli lkn siyo leo wala kesho, maana usingizi waliolala ni mzito mnoBado watanganyika wengi wamelala siku wakiamka usingizini ndio itakuwa mwisho wa CCM. UAMSHO NA UKOMBOZI UMEKARIBIA.
Maneno KUNTU sana haya...upo vizuri kiongozi...Hakika,wengi hawafahamu uhusiano wa Maisha na Serikali iliyopo madarakani..Wanaamini UGUMU huu umeletwa na Mwenyezi MunguMindset za watz ni kupambana na shida na si kuitatua na pia watanzania wengi hawajui hata serikali ina wajibu gani kwao huku basic concepts kama kodi hawazijui. Hivyo wao huchukulia maendeleo kama fadhila na stahiki yao ndio maana kuna wabunge wapo majimboni kwao miaka mingi na hawawajibishwi kwa sababu watanzania hawana mindset hizo
Kwa hiyo siamini kama umaskini utawashtua watz ubongo ila kitapofika kizazi kama cha 2000 ambacho kipo na maono na demands kwa serikali, kidogo CCM inaweza kufa natural death ila sio umaskini
Hata hicho cha 2000 wamerithi tabia za wazazi wao tena ndo hopeless kabisa hata elimu wanayopata ni ya ubora wa chini sana ni kama wanaenda kukua shuleMindset za watz ni kupambana na shida na si kuitatua na pia watanzania wengi hawajui hata serikali ina wajibu gani kwao huku basic concepts kama kodi hawazijui. Hivyo wao huchukulia maendeleo kama fadhila na stahiki yao ndio maana kuna wabunge wapo majimboni kwao miaka mingi na hawawajibishwi kwa sababu watanzania hawana mindset hizo