Hakuna kura itayoibiwa this time,hata hao wezi Wana miaka 5 awajaongezewa mishahara huo moyo wa wizi utoke wapiNa Siku ya kupiga Kura uende...! Sio unabakia huku mitandaoni hlf baadae unarudi mitandaoni ukilia tumeibiwa..! Hiki ni kibwagizo chetu pendwa . 'TUMEIBIWA'
Hata Kkoo ambapo watu walikuwa wanaingiza pesa kwa wingi napo raia zinalia, biashara haziendi kama zamani.Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.
Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative
Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo
Unaambiwa wanaume wanaotembea na wallet mifukoni ni wachache na kama yupo amejaza vitambulisho.
Hakuna haja ya Lissu kufika vijijini,, ukata wa fedha ni kampeni tosha kwa Lissu
Kumpa Magufuli kura ni kuongeza ufukara mara dufu kwa miaka 5 ijayo
Nililima mahindi kwa ajili ya kuuza mabichi. 2015 niliuza wastani wa mahindi 500 hadi 700 kwa siku.2016 niliuza mahindi 70 tu kwa siku. Nilijiuliza kwa nini nikagundua watu walipunguza kula mahindi ya kuchoma kutokana na ukata.Hata Kkoo ambapo watu walikuwa wanaingiza pesa kwa wingi napo raia zinalia, biashara haziendi kama zamani.
Halafu linakuja jitu linakwambia uchumi wa kati nye nyeee nyeee nyeee
Ugumu ulikuwepo, lakini umekuwa agrivated na Jiwe!Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.
Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative
Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo
Unaambiwa wanaume wanaotembea na wallet mifukoni ni wachache na kama yupo amejaza vitambulisho.
Hakuna haja ya Lissu kufika vijijini,, ukata wa fedha ni kampeni tosha kwa Lissu
Kumpa Magufuli kura ni kuongeza ufukara mara dufu kwa miaka 5 ijayo
Hahaha ungemuuzia Magufuli anayala sana huku barabaraniNililima mahindi kwa ajili ya kuuza mabichi. 2015 niliuza wastani wa mahindi 500 hadi 700 kwa siku.2016 niliuza mahindi 70 tu kwa siku. Nilijiuliza kwa nini nikagundua watu walipunguza kula mahindi ya kuchoma kutokana na ukata.
Vivo hivo kwa matunda kama tikiti na nanasi.
Shughuli nyingi zimekabiliwa na changamoto. Ujue hata nyongeza ya mshahara humfanya mtu abadili mlo hata kwa mwezi mara moja.
Sasa wengine watasema wanaoona maisha magumu walikuwa mafisadi. Mkulima wa tikiti anayepata shida ya soko utamwitaje fisadi.
Pengine hii ndiyo sababu watu wanakataa hizi kejeli.
Kijinga, tunamshambulia anayeungwa mkono badala
ya kujibu matatizo ya wenye shida.
Wanamwita mwongo, wakala wa mabeberu nk. Lakini watu wanamkimbilia tena kwa furaha. Jiulize kwa nini wanamfuata!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app