Uchaguzi 2020 Ugumu wa Maisha unaowakabili watanzania ndicho kinampaisha Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Ugumu wa Maisha unaowakabili watanzania ndicho kinampaisha Tundu Lissu

Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.

Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative

Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo
Unaambiwa wanaume wanaotembea na wallet mifukoni ni wachache na kama yupo amejaza vitambulisho.

Hakuna haja ya Lissu kufika vijijini,, ukata wa fedha ni kampeni tosha kwa Lissu

Kumpa Magufuli kura ni kuongeza ufukara mara dufu kwa miaka 5 ijayo
Niambie uliko nikutumie kinywaji upendacho mkuu.
 
Mmeshaambiwa msipoteze muda kupigia kura watu ambao hawatashinda, shauri yenu. Kitu kitakachowakuta baada ya 28 October...
 
Umenena vyema.
Kanuni za kuendesha nchi duniani ni mbili tu.
1.Usisomeshe namba watu wako, usiwaumize watu wako.
2.Usiguse maslai ya wakubwa wa dunia.

Ukikosea kanuni hizi, utaondolewa kwa njia ya kidemokrasia kupitia sanduku la kura au wakubwa wa dunia watashirikiana na watu wako unaowaumiza watakuondoa kwa njia zingine mbadala. Ndo yaliyofanyika Libya, Iraq, nk.

Ni salama kabisa kutowasomesha namba watu wako kwa kuwaunganisha wawe kitu kimoja ili wakubwa wa dunia wakose pa kuunga nao ili wakutoe madarakani. Hii principal imefanikiwa Irani, China. Kosa kubwa Sana la Gaddafi na Saddam Ni kutowaunganisha watu wao, usipowaunganisha watu wako wataungana na wakubwa wa dunia kukupinga
Asante kwa Madini adimu Mkuu
 
Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.

Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative

Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo
Unaambiwa wanaume wanaotembea na wallet mifukoni ni wachache na kama yupo amejaza vitambulisho.

Hakuna haja ya Lissu kufika vijijini,, ukata wa fedha ni kampeni tosha kwa Lissu

Kumpa Magufuli kura ni kuongeza ufukara mara dufu kwa miaka 5 ijayo
Tushamkataa
 
Attachments

  • governor_kaduma@p@CFi6i5iJCdX@0@0.mp4
    2.5 MB
Back
Top Bottom