Ugumu wa maisha ya Marekani, wamarekani wengi weusi kwa weupe wanakimbia Marekani na wanasema hawarudi tena.

Ugumu wa maisha ya Marekani, wamarekani wengi weusi kwa weupe wanakimbia Marekani na wanasema hawarudi tena.

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Kuna sista wetu yupo Marekani tangu 1999 anataka kurudi bongo na anasema hatorudi tena Marekani japo ana uraia tayari.. Nyumba zake zote kajenga bongo. Anasema kujenga nyum
1000101371.jpg
ba Marekani ni wizi mtupu. Kwanza hununui nyumba unachukua mortgage ambayo utatakiwa kuilipia kwa miaka 30 na baada ya miaka 30 huduma za maintenance huwa juu sana..

Bado hujalipa Kodi zao yani unakuwa kama unalipia pumzi vile. Kobaya zaidi ni Marekani almost kila mtu anamiliki silaha ya moto na kila mtu ana wish kuua mtu.. Usalama ni sifuri. Nchi kama ina laana vile. Yes ina Majengo mazuri na miundo mbinu mizuri Ila maisha ya watu ni magumu na hatari sana. Kila mtu ana stress za maisha.. Crack head ( watumiaji wa dawa za kulevya) ni wengi mno. Vichaa ni wengi mno. Juzi kati hapa VP wa Bank. Of America ameuwawa mtaani New York kwa kuchomwa kisu na sio hit it was something randomly yani mwanamke na stress zake huko kapagawa ghafla kaanza kuchoma watu visu.

Sasa hivi kuna wave kubwa sana ya wa Marekani wanahamia Afrika na Asia na wana fanya movement kuwa shawishi wenzao waondoke Marekani. Kama una ndugu yako yupo Marekani halafu Mambo Yake hayaeleweki muombee sana. Marekani ni kugumu mno.

1000101308.jpg
 
Miaka ya 2000 mpk 2010 walijaribu wengi kuhamia Africa lakini mazingira wakaona jahu,sahiz kuna wimbi kubwa sana la Wamarekani kuhamia China na Korea Kusini na Japan meza imegeuka
 
Sasa lazim nyumba ziwe ghali sabab wanataka ufate requested plan waone maj taka yanaenda wap,maji saf sio kama afrika mmnajijengea holela.kule vitu sio holela.na kama wewe ni dini flan jiweke busy na community yako mbona hapa maryland islamic community watu wana enjoy wanafanya ibada zaobna maisha yanaenda. Hayo ma cack haed ma sijui methamphetamine ni mwenyewe na makundi yako.sasa uliona wap pombe ikaacha mtu salama
 
Back
Top Bottom