Kristonsia Nkya JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 302 Reaction score 292 Aug 4, 2017 #1 *Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuzia ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
*Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuzia ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Thread Starter JF-Expert Member Joined Mar 16, 2017 Posts 1,378 Reaction score 1,045 Aug 4, 2017 #2 Ngoja waje Sent from my Android phone
kelvin miho JF-Expert Member Joined Dec 9, 2016 Posts 281 Reaction score 134 Aug 4, 2017 #3 Kristonsia Nkya said: *Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuzia ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Umewaza duuuh heri yko mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Kristonsia Nkya said: *Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuzia ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Umewaza duuuh heri yko mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Al-Watan JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 11,891 Reaction score 14,583 Aug 4, 2017 #4 Ni wewe tu na mipango yako. Maisha yakiwa magumu na wewe inabidi uwe mgumu zaidi. Njaa ikikuuma, na wewe iume.
Ni wewe tu na mipango yako. Maisha yakiwa magumu na wewe inabidi uwe mgumu zaidi. Njaa ikikuuma, na wewe iume.