Ugumu wa maisha!

Ugumu wa maisha!

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
*Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuzia ni nini?

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wewe tu na mipango yako.

Maisha yakiwa magumu na wewe inabidi uwe mgumu zaidi.

Njaa ikikuuma, na wewe iume.
 
Back
Top Bottom