Ugumu wa mitihani ya bodi ya NBAA(CPA) lengo lake ni nini? Watu wanafeli mnoo

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Wadau. Watu wanaotafuta CPA wanafeli mno, pepa ngumu kinyama. Hali hii inasaidia nini?

Wengine wanadai Uhasibu na Ukaguzi ni mgumu, sina hakika.

Wengine wanadai lengo LA bodi ni kuepuka idadi ya wataalamu WA fani kuwa wengi. Sina hakika pia, Shida ni nini?
 
Dah! Ila nadhani hawataki Wahasibu wa mchongo
 
Reactions: Tsh
CPA ni waoga, waliogopa kweli wanasheria walipotaka ianzishwe bodi ya washauri wa kodi ambayo si lazima uwe cpa. Walihofu CPA inaenda kukosa soko.
 
Pigeni shule acheni kulialia, tulishakubaliana kuwa wasomi wa siku hizi ni magarasa…. na huu ni ushahidi.
 
Ninavyofahamu lengo la mitihani ni kupima kiwango cha maarifa aliyoyapata mwanafunzi katika kozi fulani na mara zote mitihani inatakiwa isitoke nje ya alichofundishwa mwanafunzi.
Labda watungaji wa hiyo mitihani watusaidie kidogo hapa
 
Eh natamani hii syteam ya mitihan ya CPA ingetumika vyuo vikuu ili mtu akitoka na degree yake awe kaisotea kwelikweli kichwani zipozipo,sio kwa hii mitihani [emoji9]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…