Ugumu wa steering

Ugumu wa steering

baba mausingizi

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
189
Reaction score
119
Samahani wakuu gari yangu inanisumbua sana ina tatizo ukiwasha inaandika EPS kwenye darshboard alafu steering inakuwa ngumu sana na huwa inatokea mara kwa mara sometimes ukizima ukatingisha tingisha steering inarudi kawaida tatizo ni nini au kuna kifaa kimeharibika ndani vip haiwezi sababisha madhara yoyote kama ajali au
 
PELEKA GAR GEREJI LIKAFANYIWE FULL DIAGNOSIS
 
Pole sana...

EPS (Electrical Power Steering system)

Peleka kwa fundi akuangalizie system ya Steering kabla haijakata mawasiliano...

Cc: mahondaw
 
Samahani wakuu gari yangu inanisumbua sana ina tatizo ukiwasha inaandika EPS kwenye darshboard alafu steering inakuwa ngumu sana na huwa inatokea mara kwa mara sometimes ukizima ukatingisha tingisha steering inarudi kawaida tatizo ni nini au kuna kifaa kimeharibika ndani vip haiwezi sababisha madhara yoyote kama ajali au
Peleka kwa mafundi wazur wa umeme, tatizo hilo husababishwa na umeme au motor km imekufa nenda ilala machinga pale hilo tatizo linaisha fasta tu, kama itakuwa imekufa unaeeza nunua nyingine japo ni bei sana mpaka laki 5, ila pia huwa wanafanya repair hvyo ww utachagua ipi ni rahic kwako.
 
Hongera kumbe una gari??
 
Asante kwa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom