baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 119
Samahani wakuu gari yangu inanisumbua sana ina tatizo ukiwasha inaandika EPS kwenye darshboard alafu steering inakuwa ngumu sana na huwa inatokea mara kwa mara sometimes ukizima ukatingisha tingisha steering inarudi kawaida tatizo ni nini au kuna kifaa kimeharibika ndani vip haiwezi sababisha madhara yoyote kama ajali au