baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 119
PELEKA GAR GEREJI LIKAFANYIWE FULL DIAGNOSISSamahani wakuu gari yangu inanisumbua sana ina tatizo ukiwasha inaandika EPS kwenye darshboard alafu steering inakuwa ngumu sana na huwa inatokea mara kwa mara sometimes ukizima ukatingisha tingisha steering inarudi kawaida tatizo ni nini au kuna kifaa kimeharibika ndani vip haiwezi sababisha madhara yoyote kama ajali au
Peleka kwa mafundi wazur wa umeme, tatizo hilo husababishwa na umeme au motor km imekufa nenda ilala machinga pale hilo tatizo linaisha fasta tu, kama itakuwa imekufa unaeeza nunua nyingine japo ni bei sana mpaka laki 5, ila pia huwa wanafanya repair hvyo ww utachagua ipi ni rahic kwako.Samahani wakuu gari yangu inanisumbua sana ina tatizo ukiwasha inaandika EPS kwenye darshboard alafu steering inakuwa ngumu sana na huwa inatokea mara kwa mara sometimes ukizima ukatingisha tingisha steering inarudi kawaida tatizo ni nini au kuna kifaa kimeharibika ndani vip haiwezi sababisha madhara yoyote kama ajali au
Hongera kumbe una gari??Samahani wakuu gari yangu inanisumbua sana ina tatizo ukiwasha inaandika EPS kwenye darshboard alafu steering inakuwa ngumu sana na huwa inatokea mara kwa mara sometimes ukizima ukatingisha tingisha steering inarudi kawaida tatizo ni nini au kuna kifaa kimeharibika ndani vip haiwezi sababisha madhara yoyote kama ajali au
[emoji23][emoji23][emoji23]dah umenichekesha sanaHongera kumbe una gari??
Asante kwa ushauri mzuriPeleka kwa mafundi wazur wa umeme, tatizo hilo husababishwa na umeme au motor km imekufa nenda ilala machinga pale hilo tatizo linaisha fasta tu, kama itakuwa imekufa unaeeza nunua nyingine japo ni bei sana mpaka laki 5, ila pia huwa wanafanya repair hvyo ww utachagua ipi ni rahic kwako.
Poa mkuuPELEKA GAR GEREJI LIKAFANYIWE FULL DIAGNOSIS