Hilo swala linatibika mkuu mara nyingi na fault ambayo huwa inasumbua na kuwasumbua mafundi huwa inasoma fault moja MOTOR WELDING RELAY kuna mda itakubali kuna mda inakataa basi fault hii mara 100% usibadilishe control ya EPS utakuwa unabahatisha nazungumzia kama fault code ukipima inasoma hiyo hapo juu bali yakupasa ufungue sterling then pale kwenye sterling kuna winding set 1 so yakupasa kuzifachoma au pasha na solder kuondoa dry joint na shida itakuwa imekwisha..
Hayo ni maelezo ya fault ya hapo juu ambayo huwa common kwenye passo .
Lkn cha msingi na mhim ipime kwanza gari yako baada ya hapo italekebishwa kufuatana na fault iliyosomwa na mashine.. karibu JO AUTO TECH kwa matengenezo bora na yauhakika ya husuyo gari yako upande wa auto electrical &electronics.