Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,039
- 1,256
Wadau,kama somo tajwa hapo juu linavyojieleza,naombeni msaada kwa mwenye uelewa;,gari yangu PASSO kwenye dashboard inawasha taa ya EPS na uskani unakua mgumu,naweza nikaendesha hivyohivyo lakini kuna muda inazima uskani unakua mlaini,na sometimes inawaka tena uskani unakua mgumu tena,naomba mwenye uelewa juu ya hili anifahamishe lipi huenda ni tatizo ili nijue naanzia wapi hata nikienda kwa fundi,na mafundi wepi ni wazuri wa umeme wa magari kwa Dar hii...