FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Yani hadi nimecheka kwa sauti kwakusema eti ni ugunduzi. Vitu vinahitaji kuwa compact, sasa technology ya kuminimize battery iwe na mAh kubwa kubwa huku ikiwa pia ndogo ni changamoto, sasa wewe unataka waweke tatu sasa hiyo itakuwaa simu au bomu.Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.
Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
Lakini mbona simu za promotion za voda za mwaka 2018 zilikuwa na betri nyembamba sana na hapo nimeshauri ikiisha moja chaji nyingine inaendeleaNimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.
Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
Hizo simu zote unazosikia wachina wanajisifu sijui zinatumia fast charging 100w ama zaidi ni kwamba wanaweka battery zaidi ya moja kwenye simu na kuzichaji kwa pamoja.Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.
Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
Hii ni ya zamani sana wayback 2005 kulikuwa tayari na simu touch screen zenye battery mbiliNimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.
Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
AseeeeeeeeeeNimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.
Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.