Ugunduzi 2020: Badala ya simu moja au computer moja kuwa na betri moja sasa ziwe mbili au tatu ikiisha moja inaanza nyingine

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.

Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
 
Yani hadi nimecheka kwa sauti kwakusema eti ni ugunduzi. Vitu vinahitaji kuwa compact, sasa technology ya kuminimize battery iwe na mAh kubwa kubwa huku ikiwa pia ndogo ni changamoto, sasa wewe unataka waweke tatu sasa hiyo itakuwaa simu au bomu.
 
La
Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.

Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
Lakini mbona simu za promotion za voda za mwaka 2018 zilikuwa na betri nyembamba sana na hapo nimeshauri ikiisha moja chaji nyingine inaendelea
 
Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.

Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
Hizo simu zote unazosikia wachina wanajisifu sijui zinatumia fast charging 100w ama zaidi ni kwamba wanaweka battery zaidi ya moja kwenye simu na kuzichaji kwa pamoja.

Hivyo si tech ngeni na inatumika kwenye simu nyingi tu.

Oppo R17 pro na battery zake mbili
Baterai-bi-cell-fast-charging-oppo-r17pro.jpg
 
Mbona tayari ugunduzi huo upo.
Simu ya microsoft flip pia ina battery 2. Hata latop zimeshakuwa na option ya primary na secondary batteries tokea enzi za pentium 4.

Pia battery mbili au tatu ni moja kati ya solution ya kuOveheat kwenye quick charging technology ya simu.
 
Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.

Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
Hii ni ya zamani sana wayback 2005 kulikuwa tayari na simu touch screen zenye battery mbili
Sasa hivi simu zinatengenezwa na battery kubwa kupunguza mzigo wa kubeba Battery nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu.

Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe Apple,Huawei,Itel au techno.
Aseeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom