Ugunduzi 2020: kwanini tusiwe na barabara za escalator(lift)kama za kupandia ngazi ktk mall au ktk ndege au maghorofa!

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Stairs escalator tukiapply ktk barabara za pembeni kutoka mtaa mmoja hadi mwingine zitasaidia wazee kwenda makanisani na wagonjwa kwenda mahospitalini

Picha chini haijawai tokea bado kukawa na road escalators.
images(5).jpg
 
View attachment 1601378
Hizi ziko kwenye sehemu ambapo
Wananchi wanapata huduma zote za msingi
Miundo mbinu imekamilika
Mfumo wa majitaka unafanya kazi vizuri
Kuna umeme wa kutosha nknk
 
Back
Top Bottom