Tatizo unalotaka kutatua halipo au ni dogo sana. Asilimia kubwa ya Wazee wako vijijini, ambako hamna mazingira ya kuweka hizo lift, labda za vijana wa dar kupigia selfie tuu.....
Hizi ziko kwenye sehemu ambapo
Wananchi wanapata huduma zote za msingi
Miundo mbinu imekamilika
Mfumo wa majitaka unafanya kazi vizuri
Kuna umeme wa kutosha nknk