Ugunduzi chakula cha kambale hiki hapa

Ugunduzi chakula cha kambale hiki hapa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
Ni dagaa hawa wa Magengeni wanapenda sana na kukua haraka. Kambale ninao na naendelea kuuza mmoja kuanzia elfu na mia tano kama utachukua wengi bei itapungua
 
Back
Top Bottom