JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,957
Enzi nipo kidato cha 5 na 6 tulikuwa na mwalimu wa physics, mwalimu huyu alikuwa mweupe sana, maswali karibia yote alikuwa akisolve hafiki mwisho yanamshinda. Lakini alikuwa mtu wa vistory vingi sana, tulimpenda kwa hilo, one day akatuletea kistory kuwaa Gene inayoleta uzee imegunduliwa na sasa wataalamu wanaendelea kuifanyia kazi ili watu tusizeeke tena, sasa ni miaka mingi imepita, ugunduzi huu umefikia wapi kwa anayejua wandugu.