TBS wanasemaje kuhusu hivyo viwangompira wa miguu wenye viwango vya kimataifa
Umepimwa na nani kwanza hadi kusema umefikia viwango vya kimataifaaa..Haya Mambo unaweza kucheka hadi ukae chini..
Ugunduzi ni kufanya kitu kipya ambacho hakikufanywa hapo awali.Kijana wa chuo cha DIT Amani Simba amemshangaza Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel Robert kwa uwezo wake wa kufuma mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa alipofanya ziara ya kikazi katika chuo hicho mwishoni mwa wiki hii.
Kwa Maelezo ya Mkurugenzi wa Chuo hicho tawi la Mwanza Dkt Albert Mmari, kijana huyo ameonyesha kipaji cha kipekee tangu ameanza masomo chuoni hapo.
View attachment 1933162
Kwa vipimo vya macho na kupiga Dana Dana.kuhusu kiwango cha kimataifa ni taasisi imeidhinisha??
kuhusu kiwango cha kimataifa ni taasisi imeidhinisha??
...Mheshimiwa kaungalia tu kwa Macho kaamua ni Mpira Bora!![emoji853]Umepimwa na nani kwanza hadi kusema umefikia viwango vya kimataifaaa..