Ugunduzi: Kijana Mtanzania atengeneza mpira wa miguu wenye viwango vya kimataifa

Safi sana

Tunataka kusikia na kuona mambo
Kama haya,siyo kila siku tuwasikie wakata
Mauno tu

Ova
 
Pamoja na pongezi lakini tuwe wakweli huu si ugunduzi kwakuwa mpira wa miguu si kitu kipya labda iwe katumia malighafi ambazo hazijawahi kutumiwa popote duniani kutengeneza mpira
 
Viwango hupimwa kwa njia mbili, yakeanza mtengenezaji hupeleka anachokitengeneza kwenye maabara ya viwango (TBS), njia inayofuatia ni maabara ya viwango kuichukua bidhaa husika popote pale inapouzwa bila kumuhusisha mtengenezaji na kuipima ili kupata uthibitisho halisi na kinachofuatia ni (TBS) kuipeleka bidhaa husika kwenye maabara ya viwango vya kimataifa (IBS) ikapimwe na kuthibitisha ubora wake. Hapa Tanzania ni kiongozi yoyote akisema kuwa bidhaa fulani imetimiza ubora wa hali ya juu basi ni sheria ila hapahapa tu.
 
...Mheshimiwa kaungalia tu kwa Macho kaamua ni Mpira Bora!![emoji853]
Tunapenda kuingiza Mizaha kwenye mambo yetu Mengi....Ndio Maana yanaishia hapo hapo!
Hata hili baana ya 'Breakin News' hii hutalisikia teena...!!
Utani mwingi kwenye mambo serious na kupenda kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…