Ugunduzi mpya: Covid-19 inaweza kusababisha mgando wa damu mwilini

Ugunduzi mpya: Covid-19 inaweza kusababisha mgando wa damu mwilini

Hebu tusiwabeze madaktari wetu na wataalamu wetu wa afya. Jaribu hata kuangalia nyie wenyewe jinsi mazingira ya ufanyaji kazi yalivyo kwao. Jaribuni kuwaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwatetea bhana......

Rwanda madaktari wadogo tu wamegundulia visaidizi vya kusaidia kupumua sembuse sisi

Juzi nasoma Bugando Hospital watakuwa wanatoa barakoa mlangoni ukitoka unaiyacha anavaa mwingine

Alafu unasema mazingira......Hilo nalo nilamazingira kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima niwatetee... Nadhani ni mfumo ndio wa kulaumiwa na si madaktari wetu wa kiTanzania...
Acha kuwatetea bhana......

Rwanda madaktari wadogo tu wamegundulia visaidizi vya kusaidia kupumua sembuse sisi

Juzi nasoma Bugando Hospital watakuwa wanatoa barakoa mlangoni ukitoka unaiyacha anavaa mwingine

Alafu unasema mazingira......Hilo nalo nilamazingira kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwatetea bhana......

Rwanda madaktari wadogo tu wamegundulia visaidizi vya kusaidia kupumua sembuse sisi

Juzi nasoma Bugando Hospital watakuwa wanatoa barakoa mlangoni ukitoka unaiyacha anavaa mwingine

Alafu unasema mazingira......Hilo nalo nilamazingira kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna daktari mwenye akili zake atataka hilo la kuacha barakoa ili avae mwengine atataka lifanyike... Kuna la zaidi, yaani haingii akilini hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaktari wetu wamesomea mbio vyuoni ndio maana wanachapa mbio wakiona wagonjwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Medical lab scientists wa bongo wanajua kupima vinyesi tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Isee..tafadhali tambua umuhimu wa matabibu waliopo, Corona ni gonjwa tofauti na unavyofikiria..Madaktari wetu watafanya nini kama Siasa na Uchumi wetu pengine hauwezeshi kuboreshwa kwa sekta ya afya katika kiwango ukipendacho..
Watu wanagapi wanachangia mambo ya afya kuliko harusi na happy birthday?
 
Back
Top Bottom