Ugunduzi uliofanyika afrika mashariki

astranaut

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,276
Reaction score
1,024
Miaka michache iliyopita tumeshuhudia ugunduzi mbali mbali wa maliasili ukifanyika katika nchi za afrika mashariki mfano Gesi asilia tanzania,Mafuta Gafi uganda Madin mbalimbali n.k sisi gesi yetu tuliambiwa tunachukua asilimia chache tu nyingine inachukuliwa na waliosadia ugunduzi sijui kama walialikwa au walikuja tu wenyewe bila mwaliko.
Uganda wenyewe wamegundua mafuta Amboyo wenyewe wataanza kunufaika nayo ikiwa ni Pamoja na kuuzia n chi wahisani ambapo bomba litapita hapa tanzania.
Hivyo naombeni kuuliza huo ugunduzi uliofanyika uganda ulifanywa na waganda tu kufika Mpaka kupata percentage za kuuza nje? Na kama kuna wakubwa walisadia wao hakuna asilimia wanazochukua? Why sisi gesi karibia yote ichukuliwe na wakubwa hadi kukosa achilia mbali ya kuwauzia majirani, yakutumia sisi wenyewehaitoshi.
Waganda wanatuzidi ujuzi? Nakama tatizo ni uhaba wa watalaamu serikali haioni umuhimu wa kusomesha watalaamu wengi kwanza Kabla project kufanyika.
 
Ipo hivi.
1 Company ya gesi inachukuwa 50%
2 Rais alieweka sign 20%
3 Waziri wa mambo ya nje wakati huo 10%
4 Vishihata na Wapambe wa pande zote mbili 10%
5 Serikali inaamgukia 10%

Ndio maana katiba hawataki ibadilishwe kile kipengele cha rais kikisema anaweza kushtakiwa, kwa kutumia madaraka vibaya mambo mengine yatabadilika.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ


Kwanini utoke nduki??, je ulichoandika ni uongo?!!πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…