Miaka michache iliyopita tumeshuhudia ugunduzi mbali mbali wa maliasili ukifanyika katika nchi za afrika mashariki mfano Gesi asilia tanzania,Mafuta Gafi uganda Madin mbalimbali n.k sisi gesi yetu tuliambiwa tunachukua asilimia chache tu nyingine inachukuliwa na waliosadia ugunduzi sijui kama walialikwa au walikuja tu wenyewe bila mwaliko.
Uganda wenyewe wamegundua mafuta Amboyo wenyewe wataanza kunufaika nayo ikiwa ni Pamoja na kuuzia n chi wahisani ambapo bomba litapita hapa tanzania.
Hivyo naombeni kuuliza huo ugunduzi uliofanyika uganda ulifanywa na waganda tu kufika Mpaka kupata percentage za kuuza nje? Na kama kuna wakubwa walisadia wao hakuna asilimia wanazochukua? Why sisi gesi karibia yote ichukuliwe na wakubwa hadi kukosa achilia mbali ya kuwauzia majirani, yakutumia sisi wenyewehaitoshi.
Waganda wanatuzidi ujuzi? Nakama tatizo ni uhaba wa watalaamu serikali haioni umuhimu wa kusomesha watalaamu wengi kwanza Kabla project kufanyika.