A
Anonymous
Guest
Kuna uhaba mkubwa wa magari ya abiria yanayofanya safari kati ya Kisemvule na Kariakoo, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa abiria.
Wakati mwingine, abiria hulazimika kusubiri vituoni kwa zaidi ya saa mbili bila kupata usafiri. Magari yanayopatikana baadhi yake yako katika hali mbaya, jambo linaloongeza changamoto kwa wasafiri.
Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua za kuongeza idadi ya magari katika njia hii ili kupunguza adha wanayopata abiria na kuboresha huduma za usafiri.
Pia soma ~ Haya hapa maboresho ya njia mpya ya Mabasi ya Mjini (Daladala) kwa Dar yaliyofanywa na LATRA