Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
"Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda ikaenda 1600 lakini leo tunazungumzia kwenye 2550," Deogratius Temba, Mfanyabiashara
"Benki wanauza dola kwa 2550 lakini dola hauipati, lakini ukitaka kununua dola 10,000 kwa pamoja benki hupati lazima utapewa dola 500, 500 ina maana utenge hiyo fedha ununue kidogo kidogo, kwenye soko la nje unapata na inaenda hadi kwenye 2700,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara
"Gari ambayo mwaka jana nilikuwa ninaiuza kwa milioni 15 sasa hivi sokoni inaenda kwa milioni 18 hadi 19, kwa mtu ambaye alikuwa na malengo ya miaka miwili mitatu kununua gari hilo jambo la dola tayari lina athari kubwa sana, bei inazidi kuongezeka,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara
"Kama dola haitopatikana kwa urahisi kama ilivyokuwa mwanzo tunachokiano ni anguko la biashara, hatutopata tena zile bidhaa tunazoziagiza kutoka nje kirahisi, hivyo wachumi na serikali waangalie namna gani watatusaidia sisi wafanyabishara tupate hiyo fedha ili tusikwame,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara
Source: ITV