Uhaba wa dola unaweza kuangusha biashara: Deogratius Temba, Mfanyabiashara

Halafu kuna jamaa anajisifia kwamba yeye ni Dr wa uchumi na ni mchumi namba moja.
Juzi juzi kasema Dola siyo sarafu yetu kwa hiyo hatuna control nayo. Maneno ya mchumi hayo tena anayesimamia fedha na uchumi nchini. Sijui nchi ambazo Dola siyo sarafu yao lakini shilingi yao imeendekea kuwa stable against Dola wanapata wapi control ya Dola?!
 
Hao ndiyo WACHUMI wa "UCHUMIA UTUMBO MPANA" ,yaani Waziri mzima anatema PUMBA as if hana ABCs zozote za Uchumi anaongea kama mtoto wa Darasa la IV B.
 
Yani ni lazima niwatembelee wanieleze. Mwaka jana pia hivyo hivyo nlihamisha kama 100 nikapokea 98000, sikufuatilia nikahisi labda akaunti haikuwa na ela muda mrefu kuna charges za malimbikizo. Lakini kwa hili hapana maana kama ni ela ilikuwemo. Kuna muda nikihamisha inaingia kama nilivyotaraji na kuna muda wanakata haswaa. Last moth iliingia dollar 240, nikapokea msg ya kwanza kuwa rla imeingia, ikaja msg imekatwa 20000 + then ikaja tena nyngne imekatwa 20,000+
Kuna hapo benk anaujua uzembe wako unajifanya unazo na ukienda benki wanakuona unajifanya Don na transactions zako
 
Lets trade kwa our domestic currencies. Biashara ya Tanzania na China, kwann itumike pesa ya mmarekani ambaye hatufanyi nae biashara kabisa
Huyo mchina mwenyewe dollar anazihitaji, halafu ni mfanyabiashara gani ambaye yupo China atakubali kupokea Tanzania shiling kwa sasa?
 
Sisi tuna dhahabu sahihi itumie kufanyia malipo kama dollar haipatikani
 
uzi juzi kasema Dola siyo sarafu yetu kwa hiyo hatuna control nayo. Maneno ya mchumi hayo tena anayesimamia fedha na uchumi nchini. Sijui nchi ambazo Dola siyo sarafu yao lakini shilingi yao imeendekea kuwa stable against Dola wanapata wapi control ya Dola?!
Nilimskia hii nilicheka sana! Yaani huyu mama alikuwa anatakiwa kuruka nae haraka sana!
hafai kuwa hata mchumi wa kijiji!
 
Lets trade kwa our domestic currencies. Biashara ya Tanzania na China, kwann itumike pesa ya mmarekani ambaye hatufanyi nae biashara kabisa
wakati bajeti ya nchi na miradi ya maendeleo unategemea wahisani/Mabepari na bado wanakopa kila mahali. Tatizo ni aina ya viongozi tulionao wanatumikia matumbo yao tu.
 
"Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda ikaenda 1600 lakini leo tunazungumzia kwenye 2550," Deogratius Temba, Mfanyabiashara

"Benki wanauza dola kwa 2550 lakini dola hauipati, lakini ukitaka kununua dola 10,000 kwa pamoja benki hupati lazima utapewa dola 500, 500 ina maana utenge hiyo fedha ununue kidogo kidogo, kwenye soko la nje unapata na inaenda hadi kwenye 2700,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara

"Gari ambayo mwaka jana nilikuwa ninaiuza kwa milioni 15 sasa hivi sokoni inaenda kwa milioni 18 hadi 19, kwa mtu ambaye alikuwa na malengo ya miaka miwili mitatu kununua gari hilo jambo la dola tayari lina athari kubwa sana, bei inazidi kuongezeka,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara

"Kama dola haitopatikana kwa urahisi kama ilivyokuwa mwanzo tunachokiano ni anguko la biashara, hatutopata tena zile bidhaa tunazoziagiza kutoka nje kirahisi, hivyo wachumi na serikali waangalie namna gani watatusaidia sisi wafanyabishara tupate hiyo fedha ili tusikwame,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara

Source: ITV
Dola ni global problem ,yaani Hadi kina Saudia walijifanya wako BRICS wanaweweseka sembuse Tanzania?
20230906_100812.jpg
 
Nilimskia hii nilicheka sana! Yaani huyu mama alikuwa anatakiwa kuruka nae haraka sana!
hafai kuwa hata mchumi wa kijiji!
Kabisa, ilishangaza wengi tu lakini nashangaa bado anaendelea kujaribu uchumi wa nchi.
 
Juzi juzi kasema Dola siyo sarafu yetu kwa hiyo hatuna control nayo. Maneno ya mchumi hayo tena anayesimamia fedha na uchumi nchini. Sijui nchi ambazo Dola siyo sarafu yao lakini shilingi yao imeendekea kuwa stable against Dola wanapata wapi control ya Dola?!
Mwigulu nchemba yuko sahii anaye-control dollar ni federal reserve ya marekani na sio bot ya Tanzania
 
Hao ndiyo WACHUMI wa "UCHUMIA UTUMBO MPANA" ,yaani Waziri mzima anatema PUMBA as if hana ABCs zozote za Uchumi anaongea kama mtoto wa Darasa la IV B.

Nilielezea kwenye huu uzi
 
Juzi juzi kasema Dola siyo sarafu yetu kwa hiyo hatuna control nayo. Maneno ya mchumi hayo tena anayesimamia fedha na uchumi nchini. Sijui nchi ambazo Dola siyo sarafu yao lakini shilingi yao imeendekea kuwa stable against Dola wanapata wapi control ya Dola?!
Alimshangaa sana alipozungumza haya maneno.
 
Lets trade kwa our domestic currencies. Biashara ya Tanzania na China, kwann itumike pesa ya mmarekani ambaye hatufanyi nae biashara kabisa

Mihemko inatuasili sana ad vtu siliasi tunachukulia eazy tu kuna kitu kinaitwa import and export ata ukifanya biashara na china au russia km hakuna balance kweny import na export kazi ni ile ile tu
 
"Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda ikaenda 1600 lakini leo tunazungumzia kwenye 2550," Deogratius Temba, Mfanyabiashara

"Benki wanauza dola kwa 2550 lakini dola hauipati, lakini ukitaka kununua dola 10,000 kwa pamoja benki hupati lazima utapewa dola 500, 500 ina maana utenge hiyo fedha ununue kidogo kidogo, kwenye soko la nje unapata na inaenda hadi kwenye 2700,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara

"Gari ambayo mwaka jana nilikuwa ninaiuza kwa milioni 15 sasa hivi sokoni inaenda kwa milioni 18 hadi 19, kwa mtu ambaye alikuwa na malengo ya miaka miwili mitatu kununua gari hilo jambo la dola tayari lina athari kubwa sana, bei inazidi kuongezeka,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara

"Kama dola haitopatikana kwa urahisi kama ilivyokuwa mwanzo tunachokiano ni anguko la biashara, hatutopata tena zile bidhaa tunazoziagiza kutoka nje kirahisi, hivyo wachumi na serikali waangalie namna gani watatusaidia sisi wafanyabishara tupate hiyo fedha ili tusikwame,"- Deogratius Temba, Mfanyabiashara

Source: ITV

View: https://www.instagram.com/p/Cw7FWdaqjWg/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom