Uhaba wa dola unaweza kuangusha biashara: Deogratius Temba, Mfanyabiashara

Halafu kuna jamaa anajisifia kwamba yeye ni Dr wa uchumi na ni mchumi namba moja.
Juzi juzi kasema Dola siyo sarafu yetu kwa hiyo hatuna control nayo. Maneno ya mchumi hayo tena anayesimamia fedha na uchumi nchini. Sijui nchi ambazo Dola siyo sarafu yao lakini shilingi yao imeendekea kuwa stable against Dola wanapata wapi control ya Dola?!
 
Hao ndiyo WACHUMI wa "UCHUMIA UTUMBO MPANA" ,yaani Waziri mzima anatema PUMBA as if hana ABCs zozote za Uchumi anaongea kama mtoto wa Darasa la IV B.
 
Kuna hapo benk anaujua uzembe wako unajifanya unazo na ukienda benki wanakuona unajifanya Don na transactions zako
 
Lets trade kwa our domestic currencies. Biashara ya Tanzania na China, kwann itumike pesa ya mmarekani ambaye hatufanyi nae biashara kabisa
Huyo mchina mwenyewe dollar anazihitaji, halafu ni mfanyabiashara gani ambaye yupo China atakubali kupokea Tanzania shiling kwa sasa?
 
Sisi tuna dhahabu sahihi itumie kufanyia malipo kama dollar haipatikani
 
Nilimskia hii nilicheka sana! Yaani huyu mama alikuwa anatakiwa kuruka nae haraka sana!
hafai kuwa hata mchumi wa kijiji!
 
Lets trade kwa our domestic currencies. Biashara ya Tanzania na China, kwann itumike pesa ya mmarekani ambaye hatufanyi nae biashara kabisa
wakati bajeti ya nchi na miradi ya maendeleo unategemea wahisani/Mabepari na bado wanakopa kila mahali. Tatizo ni aina ya viongozi tulionao wanatumikia matumbo yao tu.
 
Dola ni global problem ,yaani Hadi kina Saudia walijifanya wako BRICS wanaweweseka sembuse Tanzania?
 
Nilimskia hii nilicheka sana! Yaani huyu mama alikuwa anatakiwa kuruka nae haraka sana!
hafai kuwa hata mchumi wa kijiji!
Kabisa, ilishangaza wengi tu lakini nashangaa bado anaendelea kujaribu uchumi wa nchi.
 
Mwigulu nchemba yuko sahii anaye-control dollar ni federal reserve ya marekani na sio bot ya Tanzania
 
Hao ndiyo WACHUMI wa "UCHUMIA UTUMBO MPANA" ,yaani Waziri mzima anatema PUMBA as if hana ABCs zozote za Uchumi anaongea kama mtoto wa Darasa la IV B.

Nilielezea kwenye huu uzi
 
Alimshangaa sana alipozungumza haya maneno.
 
Lets trade kwa our domestic currencies. Biashara ya Tanzania na China, kwann itumike pesa ya mmarekani ambaye hatufanyi nae biashara kabisa

Mihemko inatuasili sana ad vtu siliasi tunachukulia eazy tu kuna kitu kinaitwa import and export ata ukifanya biashara na china au russia km hakuna balance kweny import na export kazi ni ile ile tu
 
View: https://www.instagram.com/p/Cw7FWdaqjWg/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…