Uhaba wa dollar duniani, huu ndio ukweli mchungu tusiotaka kuukubali

Ikifika November Dola hamna,

Inabidi sirikali ya CCCm ipaki pembeni yenyewe.

Kama hiyo ndo njia ka kuondokana na CCCm, ni jambo jema tu ingawa tutaumia wengi!!

Hatimaye Nuru itaonekana tena Tz!!
 
Asante Nkerejiwa kwa kutufungua macho kwenye hili linalohusu dollar. Naomba nizijue US monetary zilizokuwa imposed na zikatuathiri mpaka sisi.
 
Kila aliyetahadharisha kuhusu ongezeko la deni la taifa alijibiwa "LINAHIMILIKA". Miradi MIKUBWA inabuniwa haraka haraka eti kutekeleza ilani. Sasa US dollar za kulipa madeni na kununulia mafuta hazitoshi, ulipie nini uache nini.
Tungekuwa na demokrasia halisi BUNGENI ingeundwa tume kurejea miradi yote MIKUBWA na matarajio yalioainishwa Tazama hali ya TAZARA, ATCL n.k. Tunajifunza lolote?
 
Dah
Umeandika nini hapo.

Kwa mtazamo wa mbali naona umehubiri tatizo ingawa haujagusa chanzo wala solution yake.

Tatizo la dunia yeah. So what?
Kwa nini unajjtetea kuwa wasilaumiwe kina fulani. Kwani wana viwanda vya dola?
 
Tuna daktari wa uchumi
 
porojo porojo, kabla ya covid balance of trade ya nchi yetu ilikua negative kwa sehemu kubwa miongoni mwa nchi tunaofanya nao biashara

-kamwe hatuwezi kuzicontrol external factors zinazohusiana na dollars
-kazi yetu nikupambana na internal factors hasa policies zitafanya mtiririko wa dollars kukaa sawa hasa mauzo ya nje na sera za fedha
-wajinga sisi tunashindwa kuchimba hata chuma huko ludewa tuuze nje dollars zisipotee
-mitaji mikubwa tunatoa nje mfano kwenye madini jamaa wakishachukua chao wanasepa na sehemu kubwa ya fedha kwenye mzunguko, sera kipindi cha zinjathropus
- nasikitika ukiniuliza kama mtanzania sisi kama nchi tunaelekea wapi hakuna dira.

acha kujificha kwenye kichaka cha external factors ambazo kamwe ziko nje ya eneo la maamuzi yako chawa mkubwa wewe, shugulika na internal factors.
 
Umechambua vizuri Dkt Bihemo
 
hamuwezi kumpa mtu mmoja kazi ya kuchapisha pesa za dunia halafu mkabaki salama. Kinachotakiwa ni kufumua mfumo mzima wa kifedha. Tukikomaa tutakufa tunajiona.
Mimi hili nalishangaa mpaka kufa
Hivi waliokaa wakakubaliana hili Suala walifikiri sawa sawa?
Yaani siwaelewi kabisa
Na hata baada ya athari zake kama hizi kuonekana,Halwachache wananyanyua mdomo kutaka mabadiliko lakini wengi tupo kama mazwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…