Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

Uhaba wa gesi kuitikisa Ulaya

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Ujerumani yawa nchi ya mwanzo Ulaya kuanza kuhaha kukosa gesi ya Urusi baada ya nchi hiyo kukataa kulipia gesi kwa sarafu ya Rouble ya Urusi badala ya dola ya Marekani.

Hayo yamesemwa na waziri wa Nishati wa nchi hiyo bw.Habeck ambaye pia ni naibu chancellor wa nchi hiyo. Katika ufafanuzi wake amesema hifadhi ya gesi ya nchi hiyo iko asilimia 25 tu.

Juu ya kwamba bado nishati hiyo inaendelea kutiririka kutoka Urusi lakini iwapo itasita basi itabidi waanze mgao mara moja kwa kutoa kipaumbele kwa baadhi ya taaasi kama vile hospitali na taasisi nyengine nyeti za serikali.
===

Gas supply crisis fears grow as Germany triggers ‘early warning’
First step under emergency gas plan activated as Germany prepares for potential cut-off over refusal to make payments in roubles.
Germany has taken the first official step towards gas rationing as fears grow over a potential stop in Russian deliveries amid a standoff over payments in roubles.

The move by the European Union’s industrial powerhouse on Wednesday to activate the “early warning” phase” of an emergency gas law was the clearest sign yet countries in the bloc were preparing for supply issues after rolling out far-reaching sanctions in the wake of Russia’s invasion of Ukraine last month.

“A crisis room will now be established in the ministry,” economics minister Robert Habeck told reporters in Berlin, adding that the team will be comprised of members from his ministry, the country’s regulator and the private sector.

The “early warning” measure, the first of three alarm levels under the German government’s emergency gas plan, was “preventative” and intended to assure supply of the fuel, said Habeck, who is also energy minister and vice chancellor.

Source: Aljazeera
 
Safari hii watatumia maji ya bomba
 
Amezungumzia uhaba lakini hajabadili msimamo, Russia watakula gesi yao wenyewe kama inaliwa, lakini wananchi wake wanapanga foleni kununua kilo 2 za sukari kwa mtu 1.,
Russia imeminya kabisa raia wake kuzungumza vitu negatives kuhusiana na vita hii. Kama Ulaya inapigika kiasi hiki, basi hata huko Russia pia kunamenyeka haswa.
 
Amezungumzia uhaba lakini hajabadili msimamo, Russia watakula gesi yao wenyewe kama inaliwa, lakini wananchi wake wanapanga foleni kununua kilo 2 za sukari kwa mtu 1.,
Mrusi ana vyakula vya kutosha na nishati ya kutosha.Mambo yataenda tu kwa kukaza mkanda.Lakini Ujerumani na wenzao wa Ulaya lazima hatimae watanywea.
Tumaini lipo kuziburuza nchi za mashariki ya kati .Pindi na wao wakiacha ujinga wa kukokotwa kutimiza malengo ya watu basi Ulaya hamna kitu.
 
Russian ruble imeimarika zaidi dhidi ya dollar kipingi hichi kigumu cha vikwazo. Iwapo Russia itakata ges kwenda ulaya, basi ulaya kutakua na maandamano makubwa na baadhi ya serikali kuanguka. Tusubiri tuone.
Kabisa !..Vitu vingi vinaweza vikaadimika watu wakasubiri lakini haiwezekani watu wakasubiri chakula,maji na nishati. Watasahau ushabiki wa chansela wao na wataingia mabarabarani.
 
Hii ndo itakua mwanzo wa mwisho wa petrodollars....
US kwa miaka mingi amekua akifaidika kwa matumizi ya ela yake kutumika ktk transaction za kimataifa...
Putin anaweza tetereka Ila ni kwa muda tu.
Russia ni li nchi limoja kuuuuubwa km Africa... Lina watu wachache sana takriban 145Milion uku nchi ikiwa kubwa km Africa.. Russia wana Ardhi ya kutosha kulisha nusu ya Dunia... Russia wana Nishati na Mafuta na Gas yakutosha, Mafuta ni wapili baada ya Saudi Arabia... Russia wana Metal km Aluminum, Copper za kutosha.
Russia wana Gold,Uranium nk za kutosha.
Russia ni mzalishaji mkuu wa Grain, soya Bean, ngano na analisha nchi kibao za Africa na Arabuni hivo pata picha...
So ktk aya yanayoendelea Russia ataumia kwa kiasi Ila naziona Nchi za Ulaya maisha yakipagalanyika,maandamano na mizozo...
Huu ndoutakua mwanzo wa Petrodollars kwani nchi ndogo zilizojaribu kutaka kuachana na matumizi ya Dollars kwenye mauzo ya Nishati yao aidha zilipinduliwa au kuletewa zengwe na US ila kwa Russia nchi namba Moja kwa nguvu za Nuclear nadhani atakua ametuondolea kisiki cha dollars
 
Ujerumani yawa nchi ya mwanzo Ulaya kuanza kuhaha kukosa gesi ya Urusi baada ya nchi hiyo kukataa kulipia gesi kwa sarafu ya Rouble ya Urusi badala ya dola ya Marekani.

Hayo yamesemwa na waziri wa Nishati wa nchi hiyo bw.Habeck ambaye pia ni naibu chancellor wa nchi hiyo. Katika ufafanuzi wake amesema hifadhi ya gesi ya nchi hiyo iko asilimia 25 tu.

Juu ya kwamba bado nishati hiyo inaendelea kutiririka kutoka Urusi lakini iwapo itasita basi itabidi waanze mgao mara moja kwa kutoa kipaumbele kwa baadhi ya taaasi kama vile hospitali na taasisi nyengine nyeti za serikali.
===

Gas supply crisis fears grow as Germany triggers ‘early warning’
First step under emergency gas plan activated as Germany prepares for potential cut-off over refusal to make payments in roubles.
Germany has taken the first official step towards gas rationing as fears grow over a potential stop in Russian deliveries amid a standoff over payments in roubles.

The move by the European Union’s industrial powerhouse on Wednesday to activate the “early warning” phase” of an emergency gas law was the clearest sign yet countries in the bloc were preparing for supply issues after rolling out far-reaching sanctions in the wake of Russia’s invasion of Ukraine last month.

“A crisis room will now be established in the ministry,” economics minister Robert Habeck told reporters in Berlin, adding that the team will be comprised of members from his ministry, the country’s regulator and the private sector.

The “early warning” measure, the first of three alarm levels under the German government’s emergency gas plan, was “preventative” and intended to assure supply of the fuel, said Habeck, who is also energy minister and vice chancellor.

Source: Aljazeera
Marekani tapeli, yeye kajiwekea grace period ya kuendelea kununua mafta ya mrusi kwa skku 45, leo nimeona aljazeera kuna meli ya urusi inashusha mafuta hapo Marekani yana thamani za millions of dollars 🤣🤣.
Hivi Marekani hao wenzake kawaroga au?
Yeye akigombana na mtu anataka na wao wagombane naye kwa maslahi yake, akimhitaji analegeza vikwazo.
 
Amezungumzia uhaba lakini hajabadili msimamo, Russia watakula gesi yao wenyewe kama inaliwa, lakini wananchi wake wanapanga foleni kununua kilo 2 za sukari kwa mtu 1.,
Screenshot_20220330-201811_RT News.jpg
Screenshot_20220330-202608_Sputnik.jpg
Screenshot_20220330-203217_RT News.jpg
 
Hakuna kitu hapo Russia atadoda na gesi yake hakuna mtu mwenye akili timamu atakayenunua nishati yenye masharti huku Russia mwenyewe akiwa ameshachoka vibaya kiasi kwamba hata vita vyake alivyovianzisha mwenyewe vimeshamshinda.

Options are there concerning the Europe's energy saga to which the Russian gas is not indispensable.
 
Back
Top Bottom