Hakuna aliyehodhi biashara ya mafuta hapa Bongo. Mafuta yetu yote yanatoka nje ya Tanzania.
Unaonesha huielewi kabisa biashara ya mafuta inaendaje duniani na hata hapa kwetu.
Mzee Ali Hassan Mwinyi, akipopokea nchi kutoka kwa Nyerere alikuta hakua mafuta, hakuna pesa benki. Hakuna chakula. Watu hata unga wanakaa foleni kuupayta.
Magari binafsi uyalikuwa hata kuyatembeza ni kwa siku maalum. Nyerere alikausha killa kitu kwenye nchi.
Msifikiri Nyerere "aliyaachia madaraka ya Urais kwa kupenda tu. Alibanwa mpaka penati kwa kujidai ni mjanja.
Hivi tunavyoongea na mavyoambiwa ndage ya Rais imeonekana Dubai na Saudi Arabia, msifikiri watu wanpiga misele tu huko.
Hao tunaowasema, kuwatukana na kuwakejeli ndiyo waliiokowa Tanzania mpaka mnaona leo tunchaguwa tule mchele upi. Tulikuwa hatuna uchguzi hapa, tulilishwa sembe la njano mpaka ukienda haja kubwa inatoka ya njano.
Uwepo wa mama madarakani si kwa kupenda kwake, ni kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu kwa Tanzania.
Kwa ufupi, kukosa mafuta leo ni sisa na uongozi mbovu wa awamu iliyopita, mwacheni mama achape kazi kuweka mambo sawa.