A
Anonymous
Guest
Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote.
Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea bili,sasa tunahoji kama yanaweza kutoka kwanini muda mwingine hayatoki?
Inatulazimu kununua maji kwa gharama kubwa sana. DAWASA walikuja kufukua miundo mbinu yao na kuiacha wazi ambapo husababisha maji kuvuja au mabomba kukatwa bila sababu.
Tunaomba tupate uvumbuzi kwenye kero hii ya kukosa maji.