Uhaba wa nafasi za Kazi za kuhamia katika Taasisi za upya

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,772
Reaction score
7,372
Wasalaam wadau..

Hivi siku hizi mbona kumekuwa na uhaba mkubwa hivi wa nafasi za kuhamia Taasisi tofauti tofauti..?

Miaka michache iliyopita nafasi za kuhamia zilikuwa ni nyingi sana ila sasa mtu unashangaa, hizo Taasisi hazitoi ajira mpya hata nafasi za watu kuhamia.

Nabaki na maswali, huwa wana-replace vipi wafanyakazi wanaopungua labda kwa kuacha kazi, vifo n.k

Sometimes inafika kipindi mtumishi unakaa kwenye taasisi moja hadi unachoka na kuhitaji kutafuta changamoto mpya kwenye taasisi zingine.
 
Kijana,
Ukipata nafasi tulia, kila taasisi inaajiri watu fresh,
 
Hii nakataa, sio Kila Taasisi ina ajiri watu fresh ila kama anahitaji kuhama anahama tu ni utashi wake ndio unahusika, kuhama Taasisi Moja kwenda nyingine sio dhambi. Kikubwa ni benefits zipi unafuata huko uendako.
 
Ni sahihi
 
Wasalaam wadau..

Hivi siku hizi mbona kumekuwa na uhaba mkubwa hivi wa nafasi za kuhamia Taasisi tofauti tofauti..?

Miaka michache iliyopita nafasi za kuhamia zilikuwa ni nyingi sana ila sasa mtu unashangaa, hizo Taasisi hazitoi ajira mpya hata nafasi za watu kuhamia.

Nabaki na maswali, huwa wana-replace vipi wafanyakazi wanaopungua labda kwa kuacha kazi, vifo n.k

Sometimes inafika kipindi mtumishi unakaa kwenye taasisi moja hadi unachoka na kuhitaji kutafuta changamoto mpya kwenye taasisi zingine.
Kwemaaaaaaaaa mkuuu
 
Back
Top Bottom