uhaba wa waadhirii DUCE

uhaba wa waadhirii DUCE

Mbute na chai

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
564
Reaction score
593
Kwa mujibu wa Gazeti la The GUARDIAN hii leo, Dar es salaam University College of Education (DUCE) wana uhaba wa waadhiri. Hii elimu yetu tunaipeleka wapi, ukizingatia DUCE ni chuo cha serikali.
 
Kwani hiyo nayo ni habari? Serikali yote ina upungufu wa Watumishi na DUCE ni Chuo cha serikali, sasa mnashanga nini?
 
Kwa mujibu wa Gazeti la The GUARDIAN hii leo, Dar es salaam University College of Education (DUCE) wana uhaba wa waadhiri. Hii elimu yetu tunaipeleka wapi, ukizingatia DUCE ni chuo cha serikali.

Nafikiri hiyo ni taarifa nzuri kwani wewe unapenda kuadhirishwa!!:confused2:
 
ni kweli kuna uhaba hasa scientist ni wachache sana.
 
Kwa mujibu wa Gazeti la The GUARDIAN hii leo, Dar es salaam University College of Education (DUCE) wana uhaba wa waadhiri. Hii elimu yetu tunaipeleka wapi, ukizingatia DUCE ni chuo cha serikali.

Mkuu, we unadhani tunaipeleka wapi zaidi ya shimoni?!
Kwani serikali inasubiri nini kuajiri wahadhiri kwa idadi inayotakiwa?!
Kila la kheri!
 
Back
Top Bottom